InshaAllah🙏🙏Upone haraka chief...
Na hutapungukiwa maana Allah kamwe huwa hamtupi mja mtoa sadaka na zaka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wizo mamboNdio wawe na roho nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya kuachia wenzao.
Pm hapana..raha ya vocha itumwe hapa hapa.
[emoji419][emoji419][emoji419]Wengi hawayaishi wanayosema humu, cha zaidi ni wame-base kwenye nadharia na sio uhalisia kama usemavyo.
AmenKwa maombi haya @mje inuka uende Bwana amekuponya
Uwiii[emoji2956][emoji7][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wizo mambo
Natoka saluni
Umetupiga kamba[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
Amina🙏🙏Jmn kumbe afya imezingua
Pole sana best
Nakuombea Yesu akuponye na damu ya Yesu inene mema juu yako
Ahsante sana madam boss lady🙏🙏🙏Thats good mr vocha elimu haina mwisho!!
Much congratulations!!👍👍👍👍
Thobotoooooooooo!!! Ikiwekwa humu ni sandakalawe no way!! zikiwekwa labda nikadaka ten zikiwekwa tena naparangana as usual!! Usintanieeee😜😜😉😉!!!Mtumie ubinadamu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Muwaachie wadogo zenu ambao bado wanahustle.
Mkuu huyu ni Kelsea au ni yule jirani yako??Bwana weeern😬😬😬😬😬 Kelsea anakipenda sana hiki.kiatuView attachment 2260965
Jina limepandisha hadhi yako sio?🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Una akili sana wewe msukuma!!👍👍👍👍
Nywele zangu zikifika hivo naongea kihindi[emoji1751]hongera dearWizo mambo
Natoka saluni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhimu kujipa likizo aisee..
Wokovu mgumu sana ule chaaa!!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Imeenda poa sijui wewNipo mkwe.
Siku yako imeendaje?
Mic u shangaz [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shangaz