tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,831
- 8,247
Dah 😂😂👐👐Unaweza kujikuta unabebisha njemba humu😂
Dah 😂😂👐👐Unaweza kujikuta unabebisha njemba humu😂
UshindweeHajui.
Hamna namna ngoja tuwabebishe tuMmeumbiwa mateso![]()
Sasa mie single na we single, _King nipe muongozo.Mmh! Haya naamini ntafanye sasa![]()
Naunga mkonoNakazia 📌📌
Well saidMmh sasa mkianza mambo ya ooh sijui kama kuna mwanamke kadate wanaume zaidi ya watano kumi sijui kutunga ooh comments nzuri nzuri blah blah blah; what do we call that? Kwamba wao hawafai au hawana haki ya kuchangia na kudate kwao kunazuia nini wao kutoa maoni yao? Ndiyo maana hata Biblia imeandika "watoza ushuru na makahaba watawatangulia mbinguni". Kila mtu ana haki ya kuongea, regardless ya status yake; kwa sababu Kila mtu ana maisha yake anayoishi na experiences zake.
Una hoja yako, bring it on the table In a peaceful way, tutajadiliana kwa hoja. Maisha unayoona nadharia, mwingine kwake ni reality, ndiyo uhalisia wake wa sila siku; DIVERSITY. So utu uzima ni pamoja na kukubali kuvisikia hata usivyotaka kuvisikia. Tujadiliane kwa hoja kama watu wazima. Hakukuwa na mashindano so sitegemei kuwa na mshindi wa chochote.


Wewe lini utatupia vocha hapa tupambane?Naunga mkono
Nakazia vocha tutagombaniana wote humu haki Sawa
Wataanza kutuma PmNakazia vocha tutagombaniana wote humu haki Sawa


Unakuta vocha imewekwa halafu njemba inajinasibu kuwa eti imeiwahi halafu imefurahi hatari. Wala hainogi yaaniLabda kama zitakuwa zinawekwa kwenye PM za mabinti, kibaya zaidi unaweza angalia avatar kumbe umeitumia njemba na ndevu zake.
Haya mambo ya fake iD's haya.




Dah mkuuNakazia vocha tutagombaniana wote humu haki Sawa

Usawa wa kijinsia eeh!Nakazia vocha tutagombaniana wote humu haki Sawa







Nabadil jina najiita kelsea charmingWataanza kutuma Pm![]()
Jamaa ana roho ngumu





