Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata wanaume mnajisahau sana tu pia. Ni vile tu uzinzi haujahalalishwa kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.

And maisha ya dating na maisha ya ndoa/familia; Yana utofauti mkubwa sana. Msipokuwa na maturity na hekima ya kutosha mmmmmh...
Ni kwa sababu mwanaume anaweza kuchepuka na akaleta ka mahitaji nyumbani na ka heshima kwa mke na watoto kapo constant, ile nyie once mkianza michepuko mnaanza dharau na visa.

Ila ukweli mnajisahau sana.
 
Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.

Mawasiliano ni kitu Cha msingi sana; kuna tofauti/walakini kwa mwenzi wako, funguka ongea naye. Tatizo nyie mnatafuta justification ya kuchepuka, so likitokea jambo kidogo tu ushadaka mchepuko. Nguo imefuliwa, haijatakata unadaka mchepuko, huo mchepuko ni washing machine? Chakula kimepikwa vibaya, ushatafuta mchepuko ambao mnakutaniana restaurant na kumaliziana lodge; vichekesho. Cheating is a choice; some people choose to cheat no matter how good it is, and others decide not to cheat no matter how bad it is. You vowed "for better or for worse", right?
 
Hata wanaume mnajisahau sana tu pia. Ni vile tu uzinzi haujahalalishwa kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.

And maisha ya dating na maisha ya ndoa/familia; Yana utofauti mkubwa sana. Msipokuwa na maturity na hekima ya kutosha mmmmmh...
Kabisa,,, inahitajika hekima kubwa. Mama ndiye muhusika mkuu kutazama familia yake, unatoka kazini wakuta Kazi zote zinakuelemea ww. Ni lazima mambo mengine utayapunguza tuu...

Lakini wanaume wao ye akishakamilisha mambo ya pesa Nyumbani ndiyo basi hiyo. Ndo mn wanalalamika kuwa eti tunajisahau.
 
Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.

Mawasiliano ni kitu Cha msingi sana; kuna tofauti/walakini kwa mwenzi wako, funguka ongea naye. Tatizo nyie mnatafuta justification ya kuchepuka, so likitokea jambo kidogo tu ushadaka mchepuko. Nguo imefuliwa, haijatakata unadaka mchepuko, huo mchepuko ni washing machine? Chakula kimepikwa vibaya, ushatafuta mchepuko ambao mnakutaniana restaurant na kumaliziana lodge; vichekesho. Cheating is a choice; some people choose to cheat no matter how good it is, and others decide not to cheat no matter how bad it is. You vowed "for better or for worse", right?
Sawasawa jirani..
 
Anhaa kwa hio mnatumia kigezo cha kula kiapo?
CAPTORHINOMORPHS njoo unisaidie.
 
Mungu azidi kutupa hekima.

Na kingine tusiwe wabinafsi; Kila mtu anawaza tu anataka afanyiwe moja, mbili, tatu. Hakuna anayewaza kumfanyia mwenzie mazuri; tunawazia tu mavuno, hakuna anayetaka kupanda mbegu kwa mwenzie.
 
Back
Top Bottom