Yaan wee acha tyuuh, kwa mfano nikianza kufuga leo, ili nije kuwaringishia humu ni November au December.
Mama ananambiaga ungepewa kucha wee, tusingepumua mtaani,
Mungu akasema wee kucha nakunyima.
Ila nikiwa mvumilivu zinakua bombaaa, tatizo kusubiri aaaah.