Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

For the Barbies & Baddies❤️🖤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1002742321.jpg
 
Kwahiyo huendi kufanya kazi unamfata Maghayo mzichape? 😹😹
Hivyo vyote ni vitu vimoja .

Kufanya kazi ni sawa na kumtafuta Maghayo , sababu alitambia kuwa amenizidi umri , pesa na exposure . Nikamuahidi nitapambana ibaki amenizidi umri tu .

Hiyo siku baada ya kupiga tutacheka na kupiga stori sana 😂
 
Hii sio jamii forum ni Forum nyingine, mshamba hachekewi ni moderator na Wana Jf wengine , hiyo ndio ID yangu tokea mwaka 2024 😂
IMG_20261020_201439.jpg
 
Umehitimu lini hata kutupa mualiko hapana jamani!

Hahhaah yaani DIT nzima ulikuwa nayo wewe tu sio? Ngoja niulizie😁
Mwaka 2026 mwezi wa 5 , ilikuwa kimya kimya 😂

Sio DIT , kabla ya kuchukua nilifanya research kama natafuta mke vile nilivyoona haina watu halafu ina ubora nikachukua 😆
 
Back
Top Bottom