Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
KhaaaaWewe ni ugonjwa wangu mkuu
ππππππππ
KhaaaaWewe ni ugonjwa wangu mkuu
Kijana wa ovyo uyo usikute anasikiza singeri.


KheeeeKhaaaa
![]()
Hii movie pamoja na kupendwa na wengi sijawahi icheki, nitajaribu.
Yaan nianze kuhaha na 1St yr ili nipate pro? Wee naanzaje? Kwan huyo 1St yr mie namuona wapi? Khaaaahnakushushaje nakupa kama zawadi kwa kunilete 2nd edtion ya first year .. au
fresha kama umeona nife na njaa


















Ah ndio
Nzuri sana hazichelewi asubuhi ubalowrka jioni huyo unatwanga na kupika .
Unaangalia sistas ya Tyler??Itakuwa nzuri
Tyler Perry ni director mzuri
Poaaah elly, za kupotea?coca mambo
Mwenye nguvu mpishe πππ Umenibania poa nalala njaaa tyuuu π€£π€£π€£π€£Yaan nianze kuhaha na 1St yr ili nipate pro? Wee naanzaje? Kwan huyo 1St yr mie namuona wapi? Khaaaah
Wee unakwama wapi? Njoo hapo magu hostel, paki Audi yako afu uone vidada vitavyoanza kuneng'eneka.
Ila wadada UD wanavushwa mno weekend, nimekumbuka jamaa anachukuliwa Demu huku anashuhudia, ila mapenzi ni nyokooo bado yupoo nae tyuuh. Woiiiiiih
![]()
βMadanga ya Mke wanguβSingeli mbona poa tu
Enzi zetu iliitwa mnanda wahenga watanielewa![]()
Haya nitaiangalia mamiiHutojuta dear...
Shangazi yanguui huyoo.. shangazi nipe code nije kudekab
shangazi ni baba
Kheeeh usitume picha yako ulopigaa kwa camera ya simu yako, labda u screenshot, bila hivyo unadukulia bibi wee,Hebuu nisanue angalizo gani tens shooo






Nafeli sananilikupa code mchana
π€¨π€¨π€¨Kweli shangazi ni baba
Mjomba nipo chimbo
Members only...
ππππ Mambo ya wakubwa hayo acha ninyonyee kwa mamaKweli shangazi ni baba
Mjomba nipo chimbo
Members only...
Ah sikuwa nazifahamu hizi kablaYeah
Na wala hazichukui siku nzima...
Maduka makubwa kukutana nayo huku kitaa ni msala.Huko hukosi kabisa
Hata maduka makubwa pia
Kunde,Yeah za kunde pia
Anzia hizo kwanza dear
