[emoji23][emoji23] huyu kashavurugwa.
Unaingia ibada mpendwa?Salama[mention]Glenn [/mention] baadae baadae mpendwa...
[emoji23][emoji23] niwe mkweli, hili jina ni tamu.
Ewaaaahh mambo si ndio hayo
Sasa Mahonadw liko kama jina la muke ya muganga[emoji38][emoji38][emoji38]
Madam nakusalimu[emoji1602]
Utashangaa wajumbe wote watapiga kura ya ndio kuwa Mahondaw ni jina la Kilingeni kwa papa Mshana Jr[/QUOTE]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unashanduka vibaya mnoo.Narandaranda tu mie hata asili yangu naijua basiiii!!![emoji23][emoji23][emoji1787] habari za asubuhi mkuu!!
Kabisaa shangazi sema wewe!!Mbona mimi naliona liko poa tu
Lipo unique
Greetings auntie kitambo sana auntie!! [emoji8][emoji8][emoji8] I hope uko bien shangazi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ananipa mda wowote nikitaka.Nasubiri hapa mrembo
Fanya chap kabla coca hajaamka akija anaambulia manyoya
🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unashanduka vibaya mnoo.
Usiwaze Badae nitaweka shangazi ngoja nikasali saa nne naingia Church!!Nashukuru Mungu niko poa
Sema ndio napishana na foto zako tu[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas tyuuh.Kwann[emoji3]