Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
karibu tusali pale bethelNipe location nije tujumuike kusalia huko mjeda!
karibu tusali pale bethelNipe location nije tujumuike kusalia huko mjeda!
KwannKwanza nichekeeee,![]()

Sawa bidada nakutakia safari njemaBadae nistue mkuu saivi najiandaa kanisani nikapunguze hizi dhambi kwanza!
Barid la hatari hapa nyanda za juu kusini..Sweta huku za kumwaga Bei CheeNaona hali ya baridi kipindi hiki ni koteee!! !! sweta nimelielewa sana bro!

On my way there mjeda!!🚶🏽♀️karibu tusali pale bethel
Ndio naenda church hapa mkuu!Nzuri tu mamie nashukuru Mungu nimeamka nikiwa mzima wa afya vip leo una ratiba ya kwenda church?
hahahahaha,tupia nikuone,ulivyopendezaOn my way there mjeda!!🚶🏽♀️
Nikitoka church nitatupia mjeda utanishua!hahahahaha,tupia nikuone,ulivyopendeza
Mimi naona ubaki na hili mamaHahahaaa!!! Msipate tabu Ngoja niwarudishie Mahondaw wapendwa wangu !!
Nikitoka church nitatupia mjeda utanishua!hahahahaha,tupia nikuone,ulivyopendeza
sawa rafikiNikitoka church nitatupia mjeda utanishua!
Nimetoa tu wazo langu
Si nimekuunga mkono?Nimetoa tu wazo langu
Usimuunge tu mshike kabisa mkono!!😉Si nimekuunga mkono?