cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Na tupige tyuuh.Tutapiga kura![]()
Na tupige tyuuh.Tutapiga kura![]()
Weraaaaaaah Weraaaaah. Huku kuna wahandisi ma pisi kali na jamaaz finest. Yaan kwa kifupi tuko







Hii ni balaaa,,, namba tayari nnayo nitakupa mrejesho baada ya wikiWeraaaaaaah Weraaaaah. Huku kuna wahandisi ma pisi kali na jamaaz finest. Yaan kwa kifupi tuko
COET kumenougaaaaaah!!!! Shemelaaaaaaaaah.


Ah utapazoea tuAsante Tinsley.
Ngoja nione jukwaa lilivyo nowadays maana najifeel ugeni kabisa.
Hii ni balaaa,,, namba tayari nnayo nitakupa mrejesho baada ya wiki![]()





sishangai wee kuopoa huku, ila wale wengine mmmh wanaogopa hata kutongoza. Mama malezi hiyo sket hebu nione vizuri, afu unapenda" Though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not delay".View attachment 2258049
huogopi kuanguka wee?Unitafute mimi🤣🤣🤣🤣🤣nitafute nn huko social?
Ahsante mama mchungaji 😍😍" Though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not delay".View attachment 2258049
Wewe unasoma makozi magumu hivyo wakati mtoto soft soft Ahhh......Weraaaaaaah Weraaaaah. Huku kuna wahandisi ma pisi kali na jamaaz finest. Yaan kwa kifupi tuko
COET kumenougaaaaaah!!!! Shemelaaaaaaaaah.
Safiiii sana" Though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not delay".View attachment 2258049
Najishikiliaga vizuri nisidondoke. Skirt baadaye, usije ukanizoom barabarani😂😂Mama malezi hiyo sket hebu nione vizuri, afu unapendahuogopi kuanguka wee?
Unaonekana ni mwanamke mzuri!! Though tulipenda tuone walau kiuno!" Though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not delay".View attachment 2258049
Wewe unasoma makozi magumu hivyo wakati mtoto soft soft Ahhh......




course ngumu kwa kipi? Kwangu rahisi mnooo tena sanaaaaa.Mmh wa kawaida sana kwa kweli.Unaonekana ni mwanamke mzuri!! Though tulipenda tuone walau kiuno!
Najishikiliaga vizuri nisidondoke. Skirt baadaye, usije ukanizoom barabarani![]()





sasa ntaku zoom vipi niko far huku, usifanye hivyo.Mimi nikiona mguu tu najua mwanamke alivyo.....ww utakuwa kazuri flani hvMmh wa kawaida sana kwa kweli.
Wewe unajua Niko wapi? Tuliaaaaasasa ntaku zoom vipi niko far huku, usifanye hivyo.
Tufanyie wepesi nkamu😜Mmh wa kawaida sana kwa kweli.