Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
St martha ,mikocheni b
Mimi nimeamka salama mremboMungu ni mwema mie nimeamka vyedi mjep Habari za asubuhi mkuu!!![]()
lol ya leo sina sema ngojaMimi nimeamka salama mrembo
Namshukuru Mungu
Selfika tuanze Jumapili vizuri best
Nasubiri hapa mrembolol ya leo sina sema ngoja
hapo nikuangaliziee fastaaaa!!
Tayari mkuu 👆👆👆👆 umeniachia kesi coca akija ataomba marudio!!Nasubiri hapa mrembo
Fanya chap kabla coca hajaamka akija anaambulia manyoya
Kwahiyo madam huu ndio mguu mwembamba uliokuwa unausemea sio vizuri 😃😃😃
ushanivuruga asubuhi hii,babu kaju kashtuka huku
Nwehhh mjeda unanikejeli mjeda! Sawaushanivuruga asubuhi hii,babu kaju kashtuka huku
Kwahiyo madam huu ndio mguu mwembamba uliokuwa unausemea sio vizuri 😃😃😃
Nimewahi madam🤣😂😂😂😂😂 kamera tu ni milonjo ya hataree Mjep akija utamwambia niliweka!!!
Nimewahi best😀😀😀 hapana aisee still miguu minene alafu mizuri
Mjep akija itabidi urudie
Hahahaaa!!! Msipate tabu Ngoja niwarudishie Mahondaw wapendwa wangu !!Nimewahi madam
Ila hii User name mpya kuitag imenipashida kweli nikachelewa kuquote🤣🤣🤣
Kabisa aiseee hii inatutesa balaaHahahaaa!!! Msipate tabu Ngoja niwarudishie Mahondaw wapendwa wangu !!
mie nikukejeli wewe? Jeuri hy naitolea wapi?Nwehhh mjeda unanikejeli mjeda! Sawa