Usijali yangu baadae kidogo nitakutag nikiwekaNimewahi best
Hapa navizia ya kwako tu mzungu
Ebu na wewe fanya namna tuone neema za Allah
Hhahahaha!!mie nikukejeli wewe? Jeuri hy naitolea wapi?
mie hy inanishinda imefanana na jina languHahahaaa!!! Msipate tabu Ngoja niwarudishie Mahondaw wapendwa wangu !!
Kwa ajili yako bosi wetu selfika nitafanya hivo !!😉Kabisa aiseee hii inatutesa balaa
mie hy inanishinda imefanana na jina langu
Leo jumapili ujue wengine tunashinnda church kama kapo Tupia hakohako mamy!!Baadae madam nitawatag nikitupia
leo unasali wapi?Leo jumapili ujue wengine tunadhinnda church kama kapo Tupia hakohako mamy!!
Nipe location nije tujumuike kusalia huko mjeda!leo unasali wapi?
Post number ngapi?Zangu zipo huko juu angalia
Usisahau kunitag na mimi ukiwekaUsijali yangu baadae kidogo nitakutag nikiweka
Nitatupia ukiwepo madamLeo jumapili ujue wengine tunashinnda church kama kapo Tupia hakohako mamy!!
Sawa HziyechUsisahau kunitag na mimi ukiweka
Sawa kipenzi!!Nitatupia ukiwepo madam
Sawa naomba unipostie Hiyo ya mguu basi maana Hiyo imenipita please AntonniaNami nakusubiria hapa mkuu selfika please!!