Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mda wa kulewa leo ni weekend
IMG_20220610_135439.jpg
 
Thubutuuuu!! kwa huyo jirani yako na madame Hannah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Nilijua tu siwezi ambulia kitu hapa!
Hamna mkemia, unajua ni vile tu ushaona huwezi. Mimi hadi niingize vocha ya kwanza, ya pili; wewe hujakamilisha tu ya kwako moja? Na ukifanikiwa tu moja, speed inakuja
 
Thubutuuuu!! kwa speed za huyo jirani yako na madame Hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Nilijua tu siwezi ambulia kitu hapa!
Tehtehtehhhhh!!! Huyu ana mpango na jirani yake huyu asubuhi amemwita na saivi tena kamwita na speed yake ya cheetah🤣🤣🤣🤣
 
Hamna mkemia, unajua ni vile tu ushaona huwezi. Mimi hadi niingize vocha ya kwanza, ya pili; wewe hujakamilisha tu ya kwako moja? Na ukifanikiwa tu moja, speed inakuja
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]! Mie hata kuwepo sikuwepo sasa nilikua bize kidogo kurudi haaah!!! Manyoyaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom