Hannah kimbia hapaaSandakalawe mwenye kupata apate ๐ฅ๐ฅ
Kwa udhamini wa mama kijacho Nuzulati View attachment 2256248
Hannah kimbia hapaaSandakalawe mwenye kupata apate ๐ฅ๐ฅ
Kwa udhamini wa mama kijacho Nuzulati View attachment 2256248
Abeee
mzigo upo juu hapo kacho yako tuZiko Wapi sasa mbona leo na
shinda njaa kwa kupunguza chakula uwiiiii
Thanks nimepata
Hakuna na zimeishaingizwa zote sshata mwenye mwendo wa kobe atapata hata moja
Vocha nane ziwe zimeingizwa zoote ๐๐๐๐Hakuna na zimeishaingizwa zote ss
Daah nilikimbia browser nikajua ndiyo inafunguka vizuri, wacha i-load kumbe kwenye app ndiyo imefunguka yoteeee. Nimewahi 3. Ahsante sana baba Pasta. Sasa nianze safari. Ubarikiwe mnooooooooooo
HongeraThanks nimepata
๐๐๐ asubuhi mbili na sasa hivi tatu una 25k bundle la maana kabisaaa ๐๐๐Daah nilikimbia browser nikajua ndiyo inafunguka vizuri, wacha i-load kumbe kwenye app ndiyo imefunguka yoteeee. Nimewahi 3. Ahsante sana baba Pasta. Sasa nianze safari. Ubarikiwe mnooooooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
HongeraDaah nilikimbia browser nikajua ndiyo inafunguka vizuri, wacha i-load kumbe kwenye app ndiyo imefunguka yoteeee. Nimewahi 3. Ahsante sana baba Pasta. Sasa nianze safari. Ubarikiwe mnooooooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera tenaMie tena, na kiswaswadu changu.
Nimepata tatu, na ile moja ya ile saa 4.
Yaani jumla elfu 20.
Leo nimeamka vizuri kweli.View attachment 2256250
Shangazi ako alijua mimi na wewe ndugu eti ndo akawa anatia ngum ila kakubaliAbeee
Habari ya mchana spider
Mtaalamu wa namba nakuaminiaaaa๐๐๐๐Daah nilikimbia browser nikajua ndiyo inafunguka vizuri, wacha i-load kumbe kwenye app ndiyo imefunguka yoteeee. Nimewahi 3. Ahsante sana baba Pasta. Sasa nianze safari. Ubarikiwe mnooooooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi browser ndiyo huwa ipo fasta kuliko appHongera
Yes bora app iko faster kuliko browser
Ahsante sana nkamu. Mtandao umepunguza sana efficiency yanguMtaalamu wa namba nakuaminiaaaa
Hongera tena na tena




ThanksHongera