Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah pole dearNimesusa wee Mjep Wigelekelo mnaniongelesha huku watu wanapepea tu nimesusaaaaaa
Mboga nimeunguza na nimetoka patupu! Asiniongeleshe mtu??
![]()
Ah pole dearNimesusa wee Mjep Wigelekelo mnaniongelesha huku watu wanapepea tu nimesusaaaaaa
Mboga nimeunguza na nimetoka patupu! Asiniongeleshe mtu??
![]()
Ukisusa wenzio wala🤣🤣🤣Nimesusa wee Mjep Wigelekelo mnaniongelesha huku watu wanapepea tu nimesusaaaaaa🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
Mboga nimeunguza na nimetoka patupu! Asiniongeleshe mtu 😎😎😎😎😎😎??🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
Nimesusa wee Mjep Wigelekelo mnaniongelesha huku watu wanapepea tu nimesusaaaaaa
Mboga nimeunguza na nimetoka patupu! Asiniongeleshe mtu??
![]()
poleeIlibidi mkipata 1 msigombanie tena na wenzenu wapate mtandao gani huo kwani?
wale kwa amani ya bwana tu riziki mafungu 7Ukisusa wenzio wala🤣🤣🤣
Okay mi ni shida aisee bora app
Zimemwaga nyingi mpate ote jameni alaf kinamama mmepewa kipaumbeleYani hawana hata huruma nyieee!!🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
e
Sijapoa hata!pole
kwakweli acha panipite tuUkisusa wenzio wala🤣🤣🤣
Nimesalute mimi siweziiiii!!!Zimemwaga nyingi mpate ote jameni alaf kinamama mmepewa kipaumbele
Nipo vizuri, weekend imeanza sasa. Thanks loads mdogo angu😂😂😂 asubuhi mbili na sasa hivi tatu una 25k bundle la maana kabisaaa 😂😂😂
Hii ni game ya wanyaki😂😂😂Mie tena, na kiswaswadu changu.
Nimepata tatu, na ile moja ya ile saa 4.
Yaani jumla elfu 20.
Leo nimeamka vizuri kweli.View attachment 2256250
😂😂😂😂😂😂
Nina swali kwako Heaven Sent
Vocha 3.. umewezaje? Au uko na simu 2?
Mie ile ya mwanzo nilimtajia namba jirani hapa, akala bingo.
Imagine!!! Ni ushunguuuuu😌😌😌😌😌😌Mie hapa
kwakweli acha panipite tu
Hapo umetishaaYes nina simu mbili hapa. Kwa simu moja labda ningebahatisha moja tu
Si uliona wenzio tulikuwa hatuongeiNimesusa wee Mjep Wigelekelo mnaniongelesha huku watu wanapepea tu nimesusaaaaaa
Mboga nimeunguza na nimetoka patupu! Asiniongeleshe mtu??
![]()





Subiri kesho tunaweka 10 tuone napo 😂😂😂😂 kama na kwenye kumi napo hutopata hata moja basi kutakuwa na namnaMie hapa
kwakweli acha panipite tu