Habari za usiku selfika family!

Kiukweli Nawamis na kuwakumbuka sana sana nivile tu nimebanwa na majukumu kidooogo ya kuweka

au

kwa hawa vijana wetu waliomaliza majuzi hapa. Lakini break nachungulia chungulia nakutana na Salamu zenu nyingi sana za kunimiss kwa namna moja ama nyingine nami nawakumbuka sana wapendwa mbarikiwe sana!
Anyawys lengo la kuwasumbua hapa ni kutaka kuwajulisha kuwa kwa sasa nimebadili username kutoka " Mahondaw" to" Antonnia" kama inavyojionesha hapo!
Nina kama wiki moja tangu nibadili username hii sasa kwa leo jioni Katika kuja kuwasabahi ndugu zangu selfika nikakutana na salamu za kukumbukwa kutoka kwa mpendwa
Nuzulati Katika kusoma soma pages nikaona mahala
Kelsea amesema anashangaa anaona kuna mtu anatumia my former username Mahondaw ila alipomchunguza akagundua sio mimi . Then mimi pia nikafuatilia kuprove kama ni kweli na kugundua kuwa ni kweli my former username is in use but to another person!
So please wapendwa kuanzia sasa sihusiki/sitahusika na kitu/ content yoyote ambayo itapostiwa kwa hio username ya Mahondaw!
Katika kufatilia inaonekana huyu mtu anapendelea sana sana nyuzi hizi:

1.Likes
2.Vituko mitandaoni
3.Picha za warembo
Pia huu uzi wa selfika ni mdau sana ukiangalia posts za nyuma utamuona!
Sijajua lengo lake ni kunichafua / kutapeli kutumia hilo jina or for what seriously I don't know wapendwa but I smells something fishy in here!

So nimeona ni vema nika wa alert / kuwapa precautions mapema wapendwa wangu!
Na Avatar niliokua naitumia kwa Mahondaw hio hapo chini nimeifanya hivo makusudikally
Na hii post nimeona niiweke tu usiku huu sasahivi ni saa 00:52 am kabla hakujakucha huwezijua ya waja!
Asanteni sana
Nawasilisha
Mshana Jr Nuzulati Kelsea Mjep cocastic Glenn Shimba ya Buyenze Strawbella mtu chake Yna2 sophy27 Hustler one Ngariba1 Christine1 Wigelekelo Katriel tamsana spidernyoka Saint Anne _King Heaven Sent genetic mbalizi1 CAPTORHINOMORPHS My Sons Legacy na wengineo
View attachment 2255849View attachment 2255852View attachment 2255853View attachment 2255854View attachment 2255855View attachment 2255856