Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
🚶🚶🚶🚶Sitakiiiiii😒😒
🚶🚶🚶🚶Sitakiiiiii😒😒
Asante kipenzi kwa kutoa taarifa ubarikiwe huko ulipo😍❤️Habari za usiku selfika family!
Kiukweli Nawamis na kuwakumbuka sana sana nivile tu nimebanwa na majukumu kidooogo ya kuwekaau
kwa hawa vijana wetu waliomaliza May! . Lakini break nachungulia chungulia nakutana na Salamu zenu nyingi sana za kunimiss kwa namna moja ama nyingine nami nawakumbuka sana wapendwa mbarikiwe sana!
Anyawys lengo la kuwasumbua hapa ni kutaka kuwajulisha kuwa kwa sasa nimebadili username kutoka " Mahondaw" to" Antonnia" kama inavyojionesha hapo!
Nina kama wiki moja tangu nibadili username hii sasa kwa leo jioni Katika kuja kuwasabahi ndugu zangu selfika nikakutana na salamu za kukumbukwa kutoka kwa mpendwa Nuzulati Katika kusoma soma pages nikaona mahala Kelsea amesema anashangaa anaona kuna mtu anatumia my former username Mahondaw ila alipomchunguza akagundua sio mimi . Then mimi pia nikafuatilia kuprove kama ni kweli na kugundua kuwa ni kweli my former username is in use but to another person!
So please wapendwa kuanzia sasa sihusiki/sitahusika na kitu/ content yoyote ambayo itapostiwa kwa hio username ya Mahondaw!
Katika kufatilia inaonekana huyu mtu anapendelea sana sana nyuzi hizi:
1.Likes
2.Vituko mitandaoni
3.Picha za warembo
Pia huu uzi wa selfika ni mdau sana ukiangalia posts za nyuma utamuona!
Sijajua lengo lake ni kunichafua / kutapeli kutumia hilo jina or for what seriously I don't know wapendwa but I smells something fishy in here!
So nimeona ni vema nika wa alert / kuwapa precautions mapema wapendwa wangu!
Na Avatar niliokua naitumia kwa Mahondaw hio hapo chini nimeifanya hivo makusudikally
Hii post nimeona niiweke tu usiku huu sasahivi ni saa 00:52 am kabla hakujakucha huwezijua ya waja!
Asanteni sana
Nawasilisha
Mshana Jr Nuzulati Kelsea Mjep cocastic Glenn Shimba ya Buyenze Strawbella mtu chake Yna2 sophy27 Hustler one Ngariba1 Christine1 Wigelekelo Katriel tamsana spidernyoka Saint Anne _King Heaven Sent genetic mbalizi1 CAPTORHINOMORPHS My Sons Legacy na wengineoView attachment 2255849View attachment 2255852View attachment 2255853View attachment 2255854View attachment 2255855View attachment 2255856
Kwaajili ya bacteria! Ila ungeweka ile Avatar yko ya zamani ilikuwa cool 🆒 sana!Sorry!
Hivyo vi slace viwili vya vitunguu ni kwa ajili ya? 😂
Kumekucha kumekuchwa sasa! 😍 Nasign hpa!View attachment 2255954
Kumekucha na makucha yake nikapigizane kelele na wateja yaani watake wasitake leo watanunua
Leo namtuma mteja kichomi aje kukusumbua tu hadi kichwa kikuume mpendwa 😬😬View attachment 2255954
Kumekucha na makucha yake nikapigizane kelele na wateja yaani watake wasitake leo watanunua
Hakuna kukata tamaa tuna pambana💪🏻💪🏻Kumekucha kumekuchwa sasa! 😍 Nasign hpa!
Ulipotea tangu Jana asubuhiGood morning
Mpendwa mbona unaniwekea balaa asubuhi 😬😁😁Leo namtuma mteja kichomi aje kukusumbua tu hadi kichwa kikuume mpendwa 😬😬
Haya selfikaaa basiMorning to you friend!
Mpendwa nakupenda acha tu, Leo utauza kuliko siku zote za maisha yako toka umeanza biashara yako.. Usisahu kutoa ushuhuda usiku home.. Lini mie nikutakie mabaraa mama kijacho 🥲🥲Mpendwa mbona unaniwekea balaa asubuhi 😬😁😁
Badae nitaweka mamy acha Asubuhi tuchakarike kwanza huku kwetu life tight kinoma!!Haya selfikaaa basi
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Hayo ndio maandishi sasa ya kutakiana baraka tele nikifanikiwa mimi sawa umefanikiwa wewe 😍Mpendwa nakupenda acha tu, Leo utauza kuliko siku zote za maisha yako toka umeanza biashara yako.. Usisahu kutoa ushuhuda usiku home.. Lini mie nikutakie mabaraa mama kijacho 🥲🥲
By Baba kijacho 😍😍
🙏🙏🙏 zetu ni duwa na sala tu mama kijacho. Mafanikio yetu kwa ajiri ya vizazi na vizazi😍. Ukafanikiwe kila ugusacho na kila utakamcho kikakubalike na wateja wetu 🙏🙏🏽🙏🏽🙏🏽Hayo ndio maandishi sasa ya kutakiana baraka tele nikifanikiwa mimi sawa umefanikiwa wewe 😍
Kuna vilainishi vya maisha siku hizi 😬Badae nitaweka mamy acha Asubuhi tuchakarike kwanza huku kwetu life tight kinoma!!
I think alimaanisha ya alizeti,ni kweli yapo yenye povuUmemix haya maelezo.. sundrop haina povu, wala hayabadiliki hata yakikaa sana ‘kw wale wapishi wa mara chache chache.
Na bei yako juu
Tofauti na hizi alizeti za kina singida
Vilainishi?? 😳😳 kama vipi hivo!?Kuna vilainishi vya maisha siku hizi 😬