Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mad Max
IMG_20220609_220047.jpg
 
Ah balaa sema nyie mafuta huko alizeti bei nafuu
Sio huku kichupa cha Sundrop 9000

Tulizoea ngano robo na yai moja chap unapata chapati za maji .

Inflation sio poa kabisa ..mbaya zaidi bei zimepanda sehemu nyingi duniani .
Yes
Halafu sundrop sio pure alizeth eeh?

Huku mafuta yameshuka sahivi,na yatashuka tena sbb ni mavuno,yatapanda baadae!
na alizeti ndio mafuta ghali kuliko yote!
 
Leo sijaweka..
Naona hata hayanuki.



Kachori nimeona kama rahisi
Ngoja tuone kesho... expectation vs reality

Ah vanilla tu inatosha
Yah ni simple sana kuaindaa wewe utaona
Almost 2 hours na huchoki kabisa

Hakika utaweza tu .. viazi visirojeke sana wakati uanchemsha na ukifinyanga upate viduara hakikisha havina ufa
 
Ah vanilla tu inatosha
Yah ni simple sana kuaindaa wewe utaona
Almost 2 hours na huchoki kabisa

Hakika utaweza tu .. viazi visirojeke sana wakati uanchemsha na ukifinyanga upate viduara hakikisha havina ufa
Kama najiona hivi,maduara yatakavyopasukia kwenye mafuta

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ni alizeti.. sema imefanyiwa namna flani kutolewa ile harufu ‘sijui ndio kuchemshwa au kuchujwa
Aah okay!
Mi nishazoea ile pure
Kutoa harufu ni simple sana
Unapotumia unayaacha yaungue kidogo harufu inatoka yanakuwa kawaida.
Ila sie home huwa tunayakaangia chips yote ili yatakate then tunakuwa tunatumia tu hatupati usumbufu wa kuchoma kila unapotaka kupika
 
Back
Top Bottom