Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Wa kutafuna mdomo ni mwingine niliachana nae muda sana.Ulipiga chini au ulivumilia kubemendwa mdomo?
Mambo mengine yanachekesha![]()
Wa kutafuna mdomo ni mwingine niliachana nae muda sana.Ulipiga chini au ulivumilia kubemendwa mdomo?
Mambo mengine yanachekesha![]()
hahahahaha,tupo tusio kua na kituJf kuwa maskini ni kujitakia tu 😀😀
Dah pole kwakeHuyo ni mpenzi wa rafiki yangu, bado wapo wote na upuuzi wake![]()
Niko vizuri!Nipo rafiki
Habari ya leo
Ooh jambo jema hilo kakaNiko vizuri!
Mungu mwema..
Fanya kama huoni vile
Vipi wa kwako yuko vipiHuyo ni mpenzi wa rafiki yangu, bado wapo wote na upuuzi wake![]()
Mimi namuambiaga kwa uvumilivu tu yupo vizuri.Dah pole kwake
Anavumilia mwenyewe ila moyo ukipenda ndo shida hapo .
Niko na mawazo leo acha nichatike 😬😁😁😁Mpendwa!
Umeeleweka kabisa. Na mada iishie hapa turudi kwenye msingi wa uzi.Anyway nilitaka kusema sio kila anachopenda kufanyiwa mwanamke A na B atapenda
Ss kutomwambia mwanaume wako unachopenda unamfanya atumie uzoefu wa alikotoka au ile general ......na matokeo yake utaona hajui au hawezi kukufikisha
Mfano 🙈🙄😎
Wengine hawapendi kupigwa deki,na wapo wanaume hawapendi hiyo pia.....halafu inakuwa balaa ,km 1 anapenda mwingine hupendi hivyo inabidi umwambie mbadala wake....
Hasa we mtu aanze kuhangaika kutafuta na hupendi ya nn
Bora kusema tu mapema....
Wengine zile deep kiss hawapendi pia bora kusema ......mmh mengine nashindwa kusema
Yuko poa,huwa ananisikiliza nini napenda anajitahidi kuyatimiza.Vipi wa kwako yuko vipi
Ah sahihiMimi namuambiaga kwa uvumilivu tu yupo vizuri.
Aliyewaunganisha asitokee wa kuwatenganisha, maisha yaendelee.Yuko poa,huwa ananisikiliza nini napenda anajitahidi kuyatimiza.
Ayaaaa kumbe upooooNa Mimi nifanyie wepesi hata mdogo wako halafu sipo mbali nipo near gentlle hills tu hapa![]()
AmenAliyewaunganisha asitokee wa kuwatenganisha, maisha yaendelee.
Utakua umefanya Jambo la maana SanaAyaaaa kumbe upoooo
Ngoja nilutafutie pisi
Duh nimecheka kwa nguvuuuu😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Changamoto sana. Kuna wale wasiojua kukiss jaman mtu anatafuna lips kama anatafuna nyama ukitoka hapo mdomo umevimba
Ndio nilichekwa hivyo siku nafika home mdomo huoooDuh nimecheka kwa nguvuuuu![]()

mdogo wangu akaniuliza huko mdomoni vipi huku anacheka niliona aibu sana