Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,863
- 37,614
😂😂Wanawake 🤣View attachment 2255779
😂😂Wanawake 🤣View attachment 2255779
Ppf mzuriAnha sio mbaya nikahisi imepanda sana
Ngano ni 1900
Yes
Halafu sundrop sio pure alizeth eeh?
Huku mafuta yameshuka sahivi,na yatashuka tena sbb ni mavuno,yatapanda baadae!
na alizeti ndio mafuta ghali kuliko yote!
Akhsante sana usiku mwema na kwako piaJamani
Muwe na usiku mzuri
Leo selfika nilikuwa fire
Mbarikiwe
Mimi nilinunua wakat nipo Mbeya lita 3 wanauza 19kSahv Lita ni elf 6 toka kwenye 7500
Na hapo ni dukani
Which means ukienda mashine wanakochuja inaweza ikawa chini
Au mengine yakikaa muda kiasi yanakuwa meusi..Hapana ni refined oil
Ndo maana haina harufu ..
Halfu nimesikia watu wanalalamika alizeti nyingine haifai mfano unakaanga hivi kitu mapovu yanatokea kwa juu ..
Ukitaka kuninyima msosi wako, au nile kwa shida basi pikia alizeti yenye harufuAah okay!
Mi nishazoea ile pure
Kutoa harufu ni simple sana
Unapotumia unayaacha yaungue kidogo harufu inatoka yanakuwa kawaida.
Ila sie home huwa tunayakaangia chips yote ili yatakate then tunakuwa tunatumia tu hatupati usumbufu wa kuchoma kila unapotaka kupika
Sawasawa jiraniNi mridhiko wa maisha jirani,so unajua tena
Kitambi Cha hela
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😅😅😅 utakutwa wewe kabla yetu sie
Tena!!...
Ah hayo mazuriNishaizoea hiyo bei
Sunola 3lt 25K
Ah hamnaKama najiona hivi,maduara yatakavyopasukia kwenye mafuta
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hayo sio pureHapana ni refined oil
Ndo maana haina harufu ..
Halfu nimesikia watu wanalalamika alizeti nyingine haifai mfano unakaanga hivi kitu mapovu yanatokea kwa juu ..
Yeah huwa ni mzuri sanaPpf mzuri
Sema hiyo sio bei ya sokoni… wala eneo ambalo limechangamka sanaaa.
Nachoma tu wala hutajuaUkitaka kuninyima msosi wako, au nile kwa shida basi pikia alizeti yenye harufu
Ah hayo hayafaiAu mengine yakikaa muda kiasi yanakuwa meusi..
😂😂😂@genetic
Angalia shoppers/ supermarketsAh hayo mazuri
Bei affordable kabisa unakaa nayo
Sijawahi kuyaona huku