Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,275
- 89,318
We fala umeachika? 🤣🤣🤣 Punguza mambo mengi baki njia kuu.Basi hapa ndio utaanza kuandika historia upyaa
We fala umeachika? 🤣🤣🤣 Punguza mambo mengi baki njia kuu.Basi hapa ndio utaanza kuandika historia upyaa
Hata enzi zangu hilo kosa sijawah kufanya,,, yaani bora akapate suprise huko huko,, mambo ya kusema ntakukunja kama nguo kwenye tenga la nguo chafu hapana sitakikwakweli!! Sasa kuna muda unakuta mkaka anajisifuuuuuuu maneno mengiiii blah blah kibao kuja 6*6 toba yaillahi!!ni empty set!!
unabaki TU![]()
Usijali mama kijacho wangu, ni wewe tu hakuna mwingine mie bado nakupenda na wish sasa hivi turudiane tuleeZamani nilikuwa Nakupenda ila kwa sasa hapana toka unipige na kitu kizito kichwani sikupendi tena😬
Hata enzi zangu hilo kosa sijawah kufanya,,, yaani bora akapate suprise huko huko,, mambo ya kusema ntakukunja kama nguo kwenye tenga la nguo chafu hapana sitaki


Kusema muhimu sana jirani...Shida ukisema niguse hapa wengi wao wanakuona hujatulia
Hawezi huyo kubaki njia kuu mpaka limfike jambo😬We fala umeachika? 🤣🤣🤣 Punguza mambo mengi baki njia kuu.
Kuna mwingine unaanzaje kumuambia uwiiii!! Lakini mwingine aaarrh mnakua kama friends vile hadi raha!!! Hasa kipindi cha ujana ujana lakini!Dah mnatabu sana, kwa hiyo huwa hampati anayeambika ndio maana mnalia hamfiki kileleni.
Kimsingi game zuri na utakayoifurahia ni kuanzia round ya pili kuendelea maana hapo kila mmoja anamuhitaji mwenzie ili kuamsha feelings. Vinginevyo mtakuwa mnalalamika kila siku hamfiki mnakotaka kufika
Vijana kama hawa wana sendo zao flani hivi
We unasema mpendwa mimi naona aibu😎Kusema muhimu sana jirani...
Kabisa mkuu, lazima haya mambo muelezane. Vinginevyo kila mmoja ataanza kukumbuka game za nje.Inategemea na mwanaume uliye nae
Ila mi napenda mtu awe rfk angu
Lkn pia anionyeshe km kweli kanipenda sio shida hata
Hawa ndio wale wanamuambia mchuchu nibebee mimba kulea sitoshindwa


😂😂kumbeee ndo zako eehMie ndio maana nikimwagia nalalaga na hapo hapo kila mtu apambane na mwili wake sipendagi utoto mie 😀😀😀
🙄🙄🙄🙄 bado wewe😂😂kumbeee ndo zako eeh
Ngoja hasira zipungue nitakupa jibu🤷🏼♀️Usijali mama kijacho wangu, ni wewe tu hakuna mwingine mie bado nakupenda na wish sasa hivi turudiane tulee
Mimi ninaona sisi wanaume ndio tunatakiwa kuwapa assuarance, ili wawe huru kujielezea wakati wa tendo.Mimi nimedeti na wazungu...
Wajua tofauti ilipo kati ya wazungu na nyie dada zetu?
Wazungu wako open sana. Yaani anakwambia laivu nini cha kufanya na wapi pa kukomalia ili afike kileleni...I like this...a lot. If you do it this way, I will come quickly and hard...yaani unapewa codes zote na kazi yako inakuwa nyepesi tu yaani...
Sasa nyinyi dah! Unajua kabisa braza hakufikishi kwa sababu hajaujua mwili wako vizuri. Na mko tofauti sana kila mmoja na mahitaji yake. Mkaka wa watu anahangaika weee huku na kule hakuna kitu. Halafu unatoka hapo unalalamika eti huyu jamaa bure kabisa. Mbona tu usimpe funguo za sefu ya mwili wako zilipo mkafurahia na kuokoa muda na kuondoa hizi frustrations na malalamiko yasiyo ya lazima?
Mi naulizaga tu. Eee bana eeh! Mi sitaki kutoka mijasho ya bure hapa. Nini kifanyike? Wapi pashughulikiwe? Tumalize hii gemu...au leo tufurahishane tu na lo lote litakalotokea litokee i.e. mechi zisizo na malengo...
Nyie mabinti wasomi...you can change the game...for the better!![]()
Wewe ni afya na uzima wangu.. wengine wote vidampa na namba zao nimefuta 😍😍Ngoja hasira zipungue nitakupa jibu🤷🏼♀️
Vumbi la kongo lina kuhusu😁😁Mie ndio maana nikimwagia nalalaga na hapo hapo kila mtu apambane na mwili wake sipendagi utoto mie 😀😀😀
Serious kabisa watu hawaelewi kwann wanawakumbuka ma ex zao ,hii moja ya sbbKabisa mkuu, lazima haya mambo muelezane. Vinginevyo kila mmoja ataanza kukumbuka game za nje.