Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Ni mateso mno.Duh! kuna watu wanateseka.
Matokeo yake mdada kama huyo akikutana na mtu anaemsikiliza. Anamuacha jamaa.
Halafu jamaa anaanza kujiuliza "tatizo nini mbona show huwa napiga ya kibabe mpaka anaomba poo"
Sent using Jamii Forums mobile app






