Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Mzee baba una upepo mtoto mzuri huyo anakutunuku
Mzee baba una upepo mtoto mzuri huyo anakutunuku
Funguka mkuuKufika kibooo utakusikia tu
Maana sio kila mwanamke anapenada, kiss......sijui aah au basi....nashindwa kufunguka🙈🙈
Na mimi nilikua nanyamaza nikaona ninaeteseka ni mimi, siku hizi nasema akitafsiri tofauti basi.Mimi siwezi ajiongeze mwenyewe
😬🙈🏃🏃🏃Christine1 ananitunuku kiroho safi, acha niifanyie mazoezi muhimu 😀😀
Kuna sehem akigusa si ataona mtetemeko hata hilo atashindwa kujiongeza kwamba hapo ndipo penyewe😀 😀Mengine unaashiria tu kwa vitendo, ataelewa.
Yaani mwanamke ananiambieShida inaanza kuna wanaume hawataki kuambiwa ukweli, wananuna.
Hayo ndo mamboNa mimi nilikua nanyamaza nikaona ninaeteseka ni mimi, siku hizi nasema akitafsiri tofauti basi.
eeeh au basi 😋😋😬🙈🏃🏃🏃
watu mna makusudi😀😀😀 sijui mlikuwa wapi hadi nime mkwapua.. acha nikajilie vitu vizuri hakuna namnaMzee baba una upepo mtoto mzuri huyo anakutunuku
Wapo, anaona kadharaulika kwamba yeye hajui kazi. Nina rafiki yangu alinishirikisha mpenzi wake analipua lipua tu akamueleza naomba unifanyie hivi na hivi bwana akanuna eti amemuonyesha dharau hajui kaziYaani mwanamke ananiambie
"Darlin fanya hivi.... au gusa huku" n.k
Ninune!!, Nitakuwa na matatizo.
Au ukweli gani huwa mnatumbia??
Sent using Jamii Forums mobile app


😂😂🏃🏃Kiboo nafika anajua kuna sehem akigusa kwishaa habari yangu hapo nataja mpaka mizimu ya kwetu😎
Nakazia😍
AaaahaaaaKiboo nafika anajua kuna sehem akigusa kwishaa habari yangu hapo nataja mpaka mizimu ya kwetu😎
😂😂😂eeeh au basi 😋😋
Naona kuna ka mtu kanatoa macho tu.. 😀😀😀😀😀😂😂😂
Usijalii utapata vitu adimu si unajua walokole wa kisasa tuna pigo zetu