Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna huyo mmoja alinizingua 2016 mwanzoni. Akaja hadi PM weee alinitukana matusi mapya ambayo nilikuwa siyajui. Nikasema wewe hunijui mimi vizuri.

Tangu huo mwaka hadi mwaka jana ndio aliniomba msamaha maana kila mwaka nilikuwa nampa dozi yake halafu miezi ile ile. Yaani nilikuwa nikikaa nikiona sina cha kufanya nampaaa, asipojibu namfuata jukwaani namwambia "jibu pm".

Sasa hiyo mwaka jana miezi ya kumpa dozi ikafika, Nikamwandikia "happy anniversary kwa ugomvi wetu". Akaniambia nimsamehe, kwanza amefiwa. Basi sasa hivi ni swahiba wangu.
Nkamu huwa sina mashaka na wewe kwenye hiyo sekta. Mtu akijichanganya kwenye 18 zako ni lazima akasimulie hadi mizimu ya kwao😂😂😂😂
 
Duh nimecheka aiseee
Jmn tumefanyaje we genetic
Na kwann ufumaniwe jmn?

To be honesty Fanya yote nitakuwa mpole,once nimegungua unacheat,yaani na share dyudyu,hakuna rangi utaacha ona,ila sitakuwa naongea ,na sitakunyima nitakupa tu ilaa........
Haha acha tu huyo baby wangu kiportable afu mpare mchepuko kiportable afu mbulu unategema nn hapo mm mbio kumbe wameniungia nilikimbizwa acha tu nikahama eneo kwa Muda wa miezi 6 hivi
 
Kwa kweli michepuko inasaidia sana. Si mnaona siku hizi hata mkirudi alfajiri tunawapokea kwa magoti na mapambio; nyoyo kong'oliiiii
Hahaha, inasaidiaaaaa...
Jamani kwa hizi kero ndogondogo kama upo na mmoja tu waweza kufwa
zote ni kazi za mungu cha muhimu utundu tu kwani unaeza mkojoza/ furahisha mwanamke hata kwa kidole tu!
Ukitumia viungo vyako effectively mbona mtafurahia tu sex sio ingiza toa tu kakangu si ndio??
Watu wanatafuta kujiamini, wanasema "ze biga ze manhud, ze kujiamini zaidi"...mi bwana hata sijui.
 
W
Hahaha, inasaidiaaaaa...
Jamani kwa hizi kero ndogondogo kama upo na mmoja tu waweza kufwa

Watu wanatafuta kujiamini, wanasema "ze biga ze manhud, ze kujiamini zaidi"...mi bwana hata sijui.
Hahahah!!! ufundiiiiii kama una bamia jidifendi kwakua fundiiii!! Ulimi/ mdomo unao kidevu unacho mikono/ vidole unavyo use them effectively 😎😎🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom