Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo mtumishi...

Wasukuma wameweza kukupatia vocha au wamezingua?

Kama bado njoo PM nikufanyie kimuamala kidogo uweke bando la mwezi mzima [emoji16][emoji16][emoji16]

Baada ya hapo uje Misungwi tukuandalie mlo wa uhakika kama ilivyo kawaida yetu Wasukuma...

View attachment 2255363
Hapo nakula nyama tušŸ˜‹
 
Wanawake vi portable ni wazur hata sita kwa sita tatizo wana mdomo jaman wivu ukifumaniwa na kiportable jipange
Tulikimbazana na viportable barabarani jaman sitasahau
Mabonge mapoleee hata likikufumania linaishia kulia tu na kujibwaga chini pwaa! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Wanawake vi portable ni wazur hata sita kwa sita tatizo wana mdomo jaman wivu ukifumaniwa na kiportable jipange
Tulikimbazana na viportable barabarani jaman sitasahau
Duh nimecheka aiseee
Jmn tumefanyaje we geneticšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Na kwann ufumaniwe jmn?

To be honesty Fanya yote nitakuwa mpole,once nimegungua unacheat,yaani na share dyudyu,hakuna rangi utaacha ona,ila sitakuwa naongea ,na sitakunyima nitakupa tu ilaa........🚶😷
 
no way ni lazima umpe wanaume wenyewe wachache jamani!!
 
🤣
Mabonge mapoleee hata likikufumania linaishia kulia tu na kujibwaga chini pwaa! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… Nimecheka hadi machoziiiiišŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Nimekumbuka uzi wa jamaa mmoja kuhusu wanawake mabonge na kudekašŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Back
Top Bottom