Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ugali wa muhogo ni mweupe kidogo. Huu ni wa mahindi umechanganywa kidogo na mtama au ulezi. Ni ugali mzito huu na ukiula unausikia kabisa kuwa umekula kitu kizito. Baada ya hapo ni ama uende shamba ukalime na kama ni usiku basi...[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hapo kwenye usiku nakazia mpendwa
 
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Vile vitu noma sana! Usiwe Mandingo lakini [emoji41]!!
Unamfahamu Mandingo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220609-083444_Google.jpg
 
Navyopendaga hizi mada, hadi mwili unanisisimka hapa[emoji23][emoji23][emoji23].

Mtu usiache Ile asili yako ya ubinadamu at the expense of furaha ya mtu mwingine . Mtu kakushushia kitu kizito, hiyo hamu inatoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoa tu tena shirikisha kila kitu hadi ubongo...tena hakuna kukataa, ukikataa unachezea!
 
😅😅
Nilihamasika, sema mazingira hayakuruhusu nitoe comment yoyote. Ila huu ni uonevu kwa sie timu ba100
zote ni kazi za mungu cha muhimu utundu tu kwani unaeza mkojoza/ furahisha mwanamke hata kwa kidole tu!
Ukitumia viungo vyako effectively mbona mtafurahia tu sex sio ingiza toa tu kakangu si ndio??
 
Back
Top Bottom