Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.

Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.
Mh!!...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakisikia tu mende anaongeza nguvu za kiume, haooooooo
Ngoja wenye hekima tukae kimya. Hatuwezi kuvisimanga viungo vyenu vya uzazi maana ndimo tulimotokea japo tunatumia maisha yetu yote tukijaribu kurudimo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
zote ni kazi za mungu cha muhimu utundu tu kwani unaeza mkojoza/ furahisha mwanamke hata kwa kidole tu!
Ukitumia viungo vyako effectively mbona mtafurahia tu sex sio ingiza toa tu kakangu si ndio??
Asante
Ss watu wanafikiri ingiza toa ndo tunafika
Kumkojoza mwanamke sio kazi ndogo
🙈🏃
Au acha niishie hapa..
 
Back
Top Bottom