Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nimedeti na wazungu...

Wajua tofauti ilipo kati ya wazungu na nyie dada zetu?

Wazungu wako open sana. Yaani anakwambia laivu nini cha kufanya na wapi pa kukomalia ili afike kileleni...I like this...a lot. If you do it this way, I will come quickly and hard...yaani unapewa codes zote na kazi yako inakuwa nyepesi tu yaani...

Sasa nyinyi dah! Unajua kabisa braza hakufikishi kwa sababu hajaujua mwili wako vizuri. Na mko tofauti sana kila mmoja na mahitaji yake. Mkaka wa watu anahangaika weee huku na kule hakuna kitu. Halafu unatoka hapo unalalamika eti huyu jamaa bure kabisa. Mbona tu usimpe funguo za sefu ya mwili wako zilipo mkafurahia na kuokoa muda na kuondoa hizi frustrations na malalamiko yasiyo ya lazima.

Mi naulizaga tu. Eee bana eeh! Mi sitaki kutoka mijasho ya bure hapa. Nini kifanyike? Wapi pashughulikiwe? Tumalize hii gemu...au leo tufurahishane tu na lo lote litakalotokea litokee i.e. mechi zisizo na malengo...

Nyie mabinti wasomi...you can change the game...for the better!
Akhsante sana mkuu! Mpaka uwe na wakukusikikiza sasa wengine akishawaza chini tu hasikii la kuambiwa ni kumrukia tu mwanamke na kumfakamia hana hata romance😎😎😎
 
Mimi nimedeti na wazungu...

Wajua tofauti ilipo kati ya wazungu na nyie dada zetu?

Wazungu wako open sana. Yaani anakwambia laivu nini cha kufanya na wapi pa kukomalia ili afike kileleni...I like this...a lot. If you do it this way, I will come quickly and hard...yaani unapewa codes zote na kazi yako inakuwa nyepesi tu yaani...

Sasa nyinyi dah! Unajua kabisa braza hakufikishi kwa sababu hajaujua mwili wako vizuri. Na mko tofauti sana kila mmoja na mahitaji yake. Mkaka wa watu anahangaika weee huku na kule hakuna kitu. Halafu unatoka hapo unalalamika eti huyu jamaa bure kabisa. Mbona tu usimpe funguo za sefu ya mwili wako zilipo mkafurahia na kuokoa muda na kuondoa hizi frustrations na malalamiko yasiyo ya lazima.

Mi naulizaga tu. Eee bana eeh! Mi sitaki kutoka mijasho ya bure hapa. Nini kifanyike? Wapi pashughulikiwe? Tumalize hii gemu...au leo tufurahishane tu na lo lote litakalotokea litokee i.e. mechi zisizo na malengo...

Nyie mabinti wasomi...you can change the game...for the better!
Kaka kale brisket ntakuja kulipa
 
Chart na vocha Heaven Sent Christine1 Kelsea Tinsley Sandakalawe
IMG_20220609_155854.jpg
 
Back
Top Bottom