Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Wewe sikupigi kuna namna yangu nitafanya 😁😁Khaaaa mambo ya risasi 7 tena hapana
Wewe sikupigi kuna namna yangu nitafanya 😁😁Khaaaa mambo ya risasi 7 tena hapana
Shangaa na wewe mpendwa mimi siwezi kufanya pasipo na hisia na nikichukia siwezi kuigiza kabisa labla hasira ziishe sio kanipiga na kitu kizito eti zoezi liendelee😬Navyopendaga hizi mada, hadi mwili unanisisimka hapa.
Mtu usiache Ile asili yako ya ubinadamu at the expense of furaha ya mtu mwingine . Mtu kakushushia kitu kizito, hiyo hamu inatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi pita njia ile ile, kuna kipindk njia inataka matengezo so diversion muhimu
Hilo tu 😬😬😬Hilo tu la hela au kuna lingine?
Asante kwa kunielewaHapana. Sicho anachokisema Binti Abiudi kwa sababu mjadala sasa hivi utaelekea kwenye kukandia wanaume na umalaya wetu.
Anachosema Binti Abiudi ni kwamba kwake yeye anaamini kuwa akimnyima hubby wake inaweza kuwa sababu shirikishi ...na falsafa yake ni kuwa hubby wake ni lazima apate haki yake no matter what.
What a beautiful philosophy!![]()
Hakika mkuu, barabara moja kila siku mbona mtihani sana. Hata hivyo inasaidia kubalansi mambo...tuachwe tu!Huwezi pita njia ile ile, kuna kipindk njia inataka matengezo so diversion muhimu
Mimi ndiyo nataka twende hukohuko😂😂😂Hapana. Sicho anachokisema Binti Abiudi kwa sababu mjadala sasa hivi utaelekea kwenye kukandia wanaume na umalaya wetu.
Anachosema Binti Abiudi ni kwamba kwake yeye anaamini kuwa akimnyima hubby wake inaweza kuwa sababu shirikishi ...na falsafa yake ni kuwa hubby wake ni lazima apate haki yake no matter what.
What a beautiful philosophy!![]()
🙄🙄🙄 tamaa ya ndio maana meumbwa wengi kuliko sieHakuna umuhimu wowote!! Ni tamaa tu
Ugali wa muhogo ni mweupe kidogo. Huu ni wa mahindi umechanganywa kidogo na mtama au ulezi. Ni ugali mzito huu na ukiula unausikia kabisa kuwa umekula kitu kizito. Baada ya hapo ni ama uende shamba ukalime na kama ni usiku basi...Huu ugali ni wa mhogo mpendwa?





Kwa kweli michepuko inasaidia sana. Si mnaona siku hizi hata mkirudi alfajiri tunawapokea kwa magoti na mapambio; nyoyo kong'oliiiiiHakika mkuu, barabara moja kila siku mbona mtihani sana. Hata hivyo inasaidia kubalansi mambo...tuachwe tu!
Kwanza kwa vidudu gani walivyo navyo matangazo yamejaa kibao ya dawa kwa ajili yao 😬😁😁😁Na sisi msitupangie matumizi ya vidudu vyetu, kila mtu atumie cha kwake kwa uhuru. Na sisi tubadili mboga
Basi limeisha. Na tubadili ladha sasaHilo tu 😬😬😬
Au basi....😂Niambie basi 😀😀
Kwanza bila hisia ni atakuchubua tu hutafurahia chochote au wala hutakua na ile feelings kabisa kutokana na psychological effects!Shangaa na wewe mpendwa mimi siwezi kufanya pasipo na hisia na nikichukia siwezi kuigiza kabisa labla hasira ziishe sio kanipiga na kitu kizito eti zoezi liendelee😬
Nikanunue popcorn uhadithie??
kanunue tule wote ila sikuambii. Ni mambo madogo tu na ni kawaida sana kutokea huko pm.😅😅🤦🤦🤦🤦🤦
Vile vitu noma sana! Usiwe Mandingo lakini 😎!!
Ah poleWanawake vi portable ni wazur hata sita kwa sita tatizo wana mdomo jaman wivu ukifumaniwa na kiportable jipange
Tulikimbazana na viportable barabarani jaman sitasahau

Nuzulat🙈😂😂😂🙆Kwanza kwa vidudu gani walivyo navyo matangazo yamejaa kibao ya dawa kwa ajili yao 😬😁😁😁