Selfika tutanue lineage bana!! Kila kitu kinawezekana 😅 😎!
😂😂surbi acha upambe
😂😂surbi acha upambe
Kuna comment yako moja nimeisoma mnajadili na kunguru wa manzese, sio poa asee😅ndio watu gani hao kaka mie nimeishia la Nne D??
tiacheni basi tusipangiane matumizi ya vidudu vyetu
😂😂hasa kwa style hii nikija mbona nitakuwa bonge na mi nikifumania nitaanza kulia lia na kujitupa chini😂😂😂Nipo mtumishi...
Wasukuma wameweza kukupatia vocha au wamezingua?
Kama bado njoo PM nikufanyie kimuamala kidogo uweke bando la mwezi mzima
Baada ya hapo uje Misungwi tukuandalie mlo wa uhakika kama ilivyo kawaida yetu Wasukuma...
View attachment 2255363
Huu ugali ni wa mhogo mpendwa?
Navyopendaga hizi mada, hadi mwili unanisisimka hapaMama mchungaji![]()


.😂😂🙈🙈🙈tiacheni basi tusipangiane matumizi ya vidudu vyetu
Kwa kweli, manake sisi ni nani tusibadilishe mboga..hahatiacheni basi tusipangiane matumizi ya vidudu vyetu
Niambie basi 😀😀😂😂🙈🙈🙈
Na sisi msitupangie matumizi ya vidudu vyetu, kila mtu atumie cha kwake kwa uhuru. Na sisi tubadili mbogatiacheni basi tusipangiane matumizi ya vidudu vyetu
Vitumieni na msiombe hela, tofauti na hapo risasi zitawahusuNa sisi msitupangie matumizi ya vidudu vyetu, kila mtu atumie cha kwake kwa uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizoooo😂😂😂Navyopendaga hizi mada, hadi mwili unanisisimka hapa.
Mtu usiache Ile asili yako ya ubinadamu at the expense of furaha ya mtu mwingine . Mtu kakushushia kitu kizito, hiyo hamu inatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Sicho anachokisema Binti Abiudi kwa sababu mjadala sasa hivi utaelekea kwenye kukandia wanaume na umalaya wetu.Kwamba wanaovitembeza huko nje: ni kwa sababu wake zao wamewanyima?.



🤦🤦🤦🤦🤦Kuna comment yako moja nimeisoma mnajadili na kunguru wa manzese, sio poa asee😅
Huwezi pita njia ile ile, kuna kipindk njia inataka matengezo so diversion muhimuKwa kweli, manake sisi ni nani tusibadilishe mboga..haha
Tunawasikiliza.Si uniambie maana hata hapa tu simpo anyawas
sasa Tupo kwa wanawake! Zamu yenu wanaume kufunguka
Khaaaa mambo ya risasi 7 tena hapanaVitumieni na msiombe hela, tofauti na hapo risasi zitawahusu
Mama pasta ongeza sauti kidogo 🤣🤣🤣Na sisi msitupangie matumizi ya vidudu vyetu, kila mtu atumie cha kwake kwa uhuru. Na sisi tubadili mboga
Hilo tu la hela au kuna lingine?Vitumieni na msiombe hela, tofauti na hapo risasi zitawahusu