Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Get well soon
20220609_145107.jpg
 
Wanaume muione hii !👆👆
Kuna Wengine wanachamfu kweli wanavuruko yani ukiwa nae ni unaongeza tu siku za kuishi kwa kucheka na kufurahi
Unakuta mwingne sirizzzzzzzz khaa😣😣 !hadi anaogopesha!
Tafuta sanguine vinginevyo ukikutana na mimi melancholic utapata shida sana.
Kwa vigezo vyako tafuta mwanaume phlegmatic.
 
Mwanaume yule ambae ukizingua nae anakuzingua kweli ila asiwe na mkono wa kupiga. Mwanaume ambae hata ukikaa nae unajihisi kabisa upo mahala salama, napenda. Sasa unakaa na mtu kazubaa huyo mimi simtaki.
Ewaaaa
Kumbe portable tuko vzr!
Wa kupiga hapana!,ila ukileta ujinga anakunyoosha,hapo sawa!
Halafu maisha yanaendelea!
Sio upole uliozidi sitaki
 
Back
Top Bottom