spidernyoka njoo ujimwaemwae hukuu!
Nimekaa Mbeya muda hutaki kuja, nshajiondokeaWachaa![]()
Wee wigeeeBastola imechomoza
Haki vile![]()
Mkuu pole sanayeah rafiki,nimepona namshukuru mungu ,sasa niko fit

Kaa kwa kutuliaWikiend tutafutane basi


Nakuzoom tuIpi hiyo
Ngoja niangalie kama nitakuwa na nafasi . Nitakujulisha
Huko nakujaNimekaa Mbeya muda hutaki kuja, nshajiondokea
Tina TurnerWee wigeee
Duh umenisaidia kumbe nilikuwa sijafuta bwana ile pic
Bora umepita ndo nimefuta ss
Smart kitochi🏃View attachment 2254891ipe jina ni simu gani....
Duly notedNakuzoom tu
hahahahaha,hapana mkuu .mambo vp lknMkuu pole sana
Isije kuwa ile battle ya M23![]()
hahahahaha.umeona eeh rafiki,mungu ni mwemaBora hata umeendelea kubaki na sisi.
hahahahahaha,ni binadamu na wao .kwema lknMakamanda na nyie mnaumwa
Sio poa wigeeeTina Turner
Mambo vipi mchuchu wa selfika
Sio kwema na mie nipo hoi kitandani natafuta mambo yangu huenda nikapona harakahahahahahaha,ni binadamu na wao .kwema lkn
Subiri natupia vocha za buku 10, ila hamna cha bureSio poa wigeee
Nina mb 20 tu hapa
Fanya wepesi basi km Mjep😂
😂😂😂nitakupa yote wewe tu 🏄Subiri natupia vocha za buku 10, ila hamna cha bure