Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna wapuuzi wengi jitu moja IDs mia. Mwingine mkitibuana kwene nyuzi anakuja kukujazia nzi pm nikaona isiwe kesi
Sisi wenye id nyingi naona tunasemwa sasa...inauma sana, halafu msitufungie pm bwana!!
 
Niliona kufunga ni best option.

Thanks.
Kuna ID moja kwenye jukwaa flani nilimzidi hoja akaja pm na vitisho vyake, nilimu ignore mpaka leo hawezi kutuma text pia haoni comments zangu jukwaa lolote.
Mtu akikuletea shida una ignore tu maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom