Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijapenda walivyowafanyia watoto wetu
[emoji23][emoji23][emoji23]dogo ale kwanza msosi wa home aisee,

,,,primary to advance kapambana sana na misosi ya shule
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikisikia jeshi kwa mujibu, napatwa hasira mnoo, 200k angu ilipotea hivi hivi.
Kwanza hamna maana kutesana tyuuh.
Nani alikushawishi uende huko??
 
Aisee kigoma ipo,nimetizama

Dogo kapangiwa Rwamkoma__mara........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeeeh haipo siriazi,Mbinga to Musoma,halafu ni tarehe tatu atimbe[emoji23][emoji23][emoji23]...no no no
Atakaepangwa Kanembwa - kigoma ameumia, kule ni vitani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
For sure wacha niinjoy hii time wale madogo wa viduku wakianza harakati zao za pimbi wakute dogo nimemraise Yuko na confidence na focus..thanks for the advice [emoji120]
 
Mwenzie nilitoa hela nitoroshwe, kilichofuata, wale mbwa ***** zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…