Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Wewe hutafutwi; wala huna shida na mtu; wewe ndiyo unajikuta unajiingiza kwenye mabifu na watu. Una option ndogo sana tu "kunyamaza".Limenikaa ila katu Siogopi mtu hata!! Watu kibao Wanasema wengine humuhumu why Mahondaw hahahaha!!
Nacheka tu mie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Asante kwa tahadhari shos na Heaven Sent
Kama mtu hajakuongelea wewe, una haja gani ya kumuongelea? Kila mtu ashike 50 zake.