Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lenie
Ile Pm tunaingiza kundi gani?

Ila watu humu sijui wakoje…Kwani mtu ukimind business zako utapungukiwa nini?
😂😂😂😂 ni choko mchokoe pweza, jichanganye wakudake. 😂😂😂😂😂

Ila nini unafki na uendelee au sio!

Tutapita tutalike tutazima data tunakuwa out of Jf na maisha mengine.. haidhuru
Yaani baby humu ni balaa😂😂
Ndio maana nakua busy na yangu tunapeana good music na _King full burudani no stress.
Maana nina allergy na -vibes, siziwezi zinipitie kushoto tu.

Shida inakuja pale mtu anajifanya anakujua kuliko unavyojijua😂
Basi anahangaika akujue hadi anasahau kula vizuri maskin😂😂
 
Mbona mambo mseto
FB_IMG_16539361489693977.jpg
 
Ni ujinga dada
Tena ni ka mtu kamoja…
Ndio kanatafuta wenzake ubaya… kapo busy kutafuta team za kuchocheza.

Ukikauliza what’s behind hizi choko unazochokoa? Obviously ni hakana majibu…

Sasa mtu unabaki kujiuliza ‘what’s for??
It’s a very nonsense daaah
Jibu linabaki ‘soma potezea, zima data toka nje ya JF.

Raha sanaa yan
nimecheka kwa nguvu mnooo, ila JF jomoneeeeeh, full burudaaan.
 
Ni ujinga dada
Tena ni ka mtu kamoja…
Ndio kanatafuta wenzake ubaya… kapo busy kutafuta team za kuchocheza.

Ukikauliza what’s behind hizi choko unazochokoa? Obviously ni hakana majibu…

Sasa mtu unabaki kujiuliza ‘what’s for??
It’s a very nonsense daaah
Jibu linabaki ‘soma potezea, zima data toka nje ya JF.

Raha sanaa yan

Kama mnamuona mtu mchonganishi; achaneni nako, kapambane na hali yake au siku muungane mkape tu za uso. Kasiwachonganishe mnagombana kisa ujinga afu kenyewe kanaangalia tu movie kanacheka. Muwe Smart
 
Yaani baby humu ni balaa😂😂
Ndio maana nakua busy na yangu tunapeana good music na _King full burudani no stress.
Maana nina allergy na -vibes, siziwezi zinipitie kushoto tu.

Shida inakuja pale mtu anajifanya anakujua kuliko unavyojijua😂
Basi anahangaika akujue hadi anasahau kula vizuri maskin😂😂
🤣🤣🤣 nakwambia hiviii

Ni kupuu apuuu kuku, akipuu bata kahara..
 
Back
Top Bottom