Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Hakuna ishu ya maana hata!! Purukushani za jf as usual!Mh!? Dadake kuna shida gani kwani🙄
Hakuna ishu ya maana hata!! Purukushani za jf as usual!Mh!? Dadake kuna shida gani kwani🙄
Na hautembei na mme wa mtuMie Siogopi kitu hata Itakua Sio mara ya kwanza humu uzuri sidaiwi mtu!!
Mambo ya wanawake utayaweza Poti 😁😁😁 acha nikae pembeni na kirungu changu na karandinga
Naona kina mama wanachafua sebuleMambo ya wanawake utayaweza Potiacha nikae pembeni na kirungu changu na karandinga
Kunywa maji mengi kama ni nongwa kutuma picha umu ututumiage koridoni sisi wenye mioyo safiEwaaaaa!! Sitoki na mume mtu!!
Ebu nifanye yangu na nikae kwa kutulia asee!
Tatizo sio bayaa, unatafutiwa chokochoko, ili ujikanyage, tunakukumbusha lakini. Wee haya tyuuh. Sisi tunaokuambia ndo tunao kupenda mwayaaaa.nakumbuka mama pasta nakumbuka!! Kwani kuna baya nimefanya lakini???
Boraa umuambie kabisaaa, yaan akijikanyaga kidogo ameumia, ajiulize mbna ya huku kule hayaend? Why ya kule yanakuja huku? Atapatq jibu.Hujafanya kitu; ila kuwa na tahadhari. Fanya yako, funga mdomo sijui mikono yako ya ku-type. "Mambo ya watu, waachie wenyewe".
Nyani mzee mie wakuje nitawaangalia tu wakimaliza watanyamaza mwisho wa siku kila Mtu anaendeleaje kupambana na shida zakeKunywa maji mengi kama ni nongwa kutuma picha umu ututumiage koridoni sisi wenye mioyo safi
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Usijali aisee sisi wenye macho ya kawaida hatuoni bayaNyani mzee mie wakuje nitawaangalia tu wakimaliza watanyamaza mwisho wa siku kila Mtu anaendeleaje kupambana na shida zake
Awesome God😍😍😍🤗🤗😍😍😍😍 Kazi ya Arch Mungu.. yaani raha raha raha tuu
kwann uogope,wkt watu wa kukulinda tupo? We jiachie.usiogopeMie Siogopi kitu hata Itakua Sio mara ya kwanza humu uzuri sidaiwi mtu!!
Kama nyota na mweziAwesome God😍😍😍
Our God is an awesome God
He reigns from heaven above
With wisdom, power, and love
Our God is an awesome God
Our God is an awesome God
He reigns from heaven above
With wisdom, power, and love
Our God is an awesome God (lift it up!)😍😍😍
Jioni movie .. ki sport flani hivi 😍 hao priiiii 🦅🦅🦅🦅Turudi tulipokua au tubadili kijiwe?🍹
Shouga angu? Shouga angu? Shouga angu? Nimekuita mara 3.Wewe nani kakwambia hayaendi??! Yanarotate mbona!!
!!
Hii nyimbo🤣🤣🤣🤣Lenie 😁😁😁 nimekumbuka leo jioni movie View attachment 2245742
Aunt naombaaa,