Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha uchochezi poker !!! Itakua Unapenda ligi mkuu selfika ni utu na utulivu hizo ligi tuwaachie makapu!!
Haya tulieni hivohivo mlivo napita naked kabisa!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3]
Ukiingia humu ukaacha kucheka utakuwa na tatizo kubwa.
Eti unapitaje[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waifu matirio 100% [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Na hawa abusers wana mbinu nyingi. They are very good manipulators. Wakikwama huko kwenye game za kisaikolojia wanatumia intimidation. They are sociopaths who can't let go. Pure narcissists!

Ni bahati mbaya sana kwamba mtumishi huyu wa Mungu aliingia kwenye anga za mtu kama huyu. Kujinasua huwa ni ngumu sana kwa sababu hata kama angeondoka jamaa lingeweza kumfuata tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] eeeeh wee mie nna swaggz za mambeleee, yaan ni mzungu haswaaah. Hata maisha yangu ya kizungu sana hasa ki falsafa
Unafuata mkondo upi wa kifalsafa?

Ni mwanafalsafa yupi unamkubali sana?

Halafu nimeona mahali una ligi. Mtu kajaribu kukupanda kichwani ikashindikana. Yaani we mjukuu dah!
 
Unafuata mkondo upi wa kifalsafa?

Ni mwanafalsafa yupi unamkubali sana?

Halafu nimeona mahali una ligi. Mtu kajaribu kukupanda kichwani ikashindikana. Yaani we mjukuu dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuu watu stress zao wanataka kunitulia mie, khaaaah hapana, nashuka nae mzima mzima.

Hapo kwq falsafa subiri kwan, uwiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…