Pole ushatumia dawa?Nina allergy ya nyama... sasa nyama ya ng'ombe nikiikaanga ikakauka kabisa nikila haina shida si ugenini nimekuta ya mbuzi nikawaambia yangu waikaange ikauke kabisa weeeeeeeehhh ilichonifanya hapa tumbo linaumaaa nimevimba mwili mzima na kuwashwa mwili mzima
Sasa mwili unawasha tumbo linaumaaa gesi si gesi kuvimbiwa si kuvimbiwa kuhara si kuhara yaniii!!
Ngariba1 View attachment 2242793View attachment 2242792
Basi mie sijui nlikulaga nn jamani nikawa kama hvo...... Kupelekwa hospital na kunywa dawa ndo nlizidisha........ Weeeh kesho yake nliwashwa...... Hadi nalia mtu mmja akanambia paka majivu kwetu hakuna jiko lenye majivu nkakimbia kwa jirani kugonga geti...... Sikusalimia nawauliza jiko lenu Lina majivu kweli wakasema ndio nkamwambia nionyesheni jikon kwenu..... nlijipaka majivu kama mwehu...... Kutoka hapo nmekua mweupe peeeh..... Sijawai kupatwa tena na mzio........ Kwa hyo cc Mahondwa jaribu kupaka majivu au kunywa mkojo wa kwanza asubui..... Nlisikia hua ni dawa nzuri sana japo me sijawai kunywa aisehNina allergy ya nyama... sasa nyama ya ng'ombe nikiikaanga ikakauka kabisa nikila haina shida si ugenini nimekuta ya mbuzi nikawaambia yangu waikaange ikauke kabisa weeeeeeeehhh ilichonifanya hapa tumbo linaumaaa nimevimba mwili mzima na kuwashwa mwili mzima
Sasa mwili unawasha tumbo linaumaaa gesi si gesi kuvimbiwa si kuvimbiwa kuhara si kuhara yaniii!!
Ngariba1 View attachment 2242793View attachment 2242792


Asante mamy nataka niende hospitali nyingine nilienda mwanzo wakanipeka dawa naona bila bila. Shukrani sanaBasi mie sijui nlikulaga nn jamani nikawa kama hvo...... Kupelekwa hospital na kunywa dawa ndo nlizidisha........ Weeeh kesho yake nliwashwa...... Hadi nalia mtu mmja akanambia paka majivu kwetu hakuna jiko lenye majivu nkakimbia kwa jirani kugonga geti...... Sikusalimia nawauliza jiko lenu Lina majivu kweli wakasema ndio nkamwambia nionyesheni jikon kwenu..... nlijipaka majivu kama mwehu...... Kutoka hapo nmekua mweupe peeeh..... Sijawai kupatwa tena na mzio........ Kwa hyo cc Mahondwa jaribu kupaka majivu au kunywa mkojo wa kwanza asubui..... Nlisikia hua ni dawa nzuri sana japo me sijawai kunywa aiseh![]()
@Heaven Sent mic uLuke 11:5-10
[5]And He said to them, “Which of you shall have a friend, and go to him at midnight and say to him, ‘Friend, lend me three loaves;
[6]for a friend of mine has come to me on his journey, and I have nothing to set before him’;
[7]and he will answer from within and say, ‘Do not trouble me; the door is now shut, and my children are with me in bed; I cannot rise and give to you’?
[8]I say to you, though he will not rise and give to him because he is his friend, yet because of his persistence he will rise and give him as many as he needs. Keep Asking, Seeking, Knocking
[9]“So I say to you, ask, and it will be given to you; seek, and you will find; knock, and it will be opened to you.
[10]For everyone who asks receives, and he who seeks finds, and to him who knocks it will be opened.
Ndio mkuu nimetumia !
Ndio mkuu nimetumia !
asante mkuu!Pole.
Pole sana mkuu
🙏🙏 sana msukuma!Pole Boss Lady...
Wenzio tulirudi saa 6
Sasa wakae kwa kutulia, Europa kuna champion mmoja tu....anajulikana!
Real MadridSasa wakae kwa kutulia, Europa kuna champion mmoja tu....anajulikana!