Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,974
- 177,196
Vishapoa nataka niende hospital nyinginePole sana dada ake sikuwa najua kumbe ulikuwa unaugulia maumivu pole sana MWENYEZI MUNGU atasaidia utapona usijari dada ake![]()
Vishapoa nataka niende hospital nyinginePole sana dada ake sikuwa najua kumbe ulikuwa unaugulia maumivu pole sana MWENYEZI MUNGU atasaidia utapona usijari dada ake![]()
PolesanaVishapoa nataka niende hospital nyingine
Uliweka?Ehee Pete ya ndoa Mkuu..!
ya Sura subiri hapo hapo Mkuu itakuja tu
Halla MadridSasa wakae kwa kutulia, Europa kuna champion mmoja tu....anajulikana!
Duuh pole mkemiaVishapoa nataka niende hospital nyingine
Duuh pole mkemia
Na ndo naamka saivWenzio tulirudi saa 6
We vipi?![]()
Hala madridKabla haujapoa vzuri unashtukia bakuli limeisha 😂😋😋😋Njoo umpoozee princess uji Lenie View attachment 2243183
Heheee ndio ma aunt hao wanaoachiwa watoto 🤣🤣Kabla haujapoa vzuri unashtukia bakuli limeisha 😂😋😋😋
Ahsante. Hujambo mdogo angu?@Heaven Sent mic u
Tena ukute katoto kanaleta pozi kula, aah nitakasaidia mbona😂😂😂Heheee ndio ma aunt hao wanaoachiwa watoto 🤣🤣
Sun kissed 😙
😂😂😂 sasa kasiposhiba kwa hizo pose zake si utakaesumbuka bado ni wewe.Tena ukute katoto kanaleta pozi kula, aah nitakasaidia mbona😂😂😂
Bora kawe kanalilia kenyew msosi
Ndio hapo hua vinasumbua hivi vitoto😂😂😂 sasa kasiposhiba kwa hizo pose zake si utakaesumbuka bado ni wewe.
Kakianza kulia lia bila sababu, kumbe kana njaa