Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Inapoanzia mambo ya 22.4dm³ at stp ndio inaanzia kuwa ngumu!Kemia nyepesi sana mbona hainaga maelezo mengi Kabisa!
Inapoanzia mambo ya 22.4dm³ at stp ndio inaanzia kuwa ngumu!Kemia nyepesi sana mbona hainaga maelezo mengi Kabisa!
enzi zangu mwalimu nimeisha mlaza na viatu 😅😅NaaamView attachment 2240371Madogo wanatafutana hapa!!


Umependeza!Wanajifanya wanapenda surprises sana
Ugali Mama Mchungaji...Hujawahi kuona na mikono yetu ilivyo na vigimbi?
Kwa hiyo tukuandalie na unga wa ugali; matoke na wali hushibi?
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu dizain km unanisafishia njia nishindwe Mimi Tu😅Alikuwa anasema kachoka kusifia tu kumbe kuna waungwana wao hawana maneno mengi wanajitwalia tu. Ila kwa hiyo barua hapo naamini kazi imeisha, tena toto shombe..lazima azime![]()
Wee Uyole katikatiKumbe siyo Uyole?![]()
😁😁😁 atakosa ya wageniWanajifanya wanapenda surprises sana
Mbona Voice note unatuma 🤣Naogopa sana kupokea simu.
Ukinipigia sipokei..nakutumia text.
Inapobidi.Mbona Voice note unatuma 🤣
Na utaendelea kutusikia redioni.😀Msingeweza kuniona🤣🤣
Nahisi muda wa ugali; itabidi mgeni uingie mwenyewe kitchen sasa ujipikie.Ugali Mama Mchungaji...
Matoke sijui wali hizo ni appetizer tu lakini main course ni ugali....
Itanoga zaidi ugali ukiwa mgumu kama jiwe.
Thenki yu fo yua kaindinesi![]()
Sio kamandaNa utaendelea kutusikia redioni.😀
We subiri itasikia tuSio kamanda
Kwendraaa. Mtaniona mkishafika🤣🤣We subiri itasikia tu
Watu wasiojulikana..tusiowaona sura hatutaki kuonana nao🤣🤣🤣
So I’ve to… hahaha uwiiiInapobidi.
Mara chache sana.
Yaani kama nikikutumia ujue ni kitu cha muhimu sana😁ushukuru Mungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umezoom nini sasa wajameni 😂😂😂
Mwalimu analala na viatu Kivipi tena baba pasta???enzi zangu mwalimu nimeisha mlaza na viatu 😅😅