Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hili la Pm lilikuwa linanikera zaidi.
Massesage yanabebana hovyo hadi unakosa hamu ya kuendelea kuandika.

Hii shida ya kugoma kuquote comments nyingi imenifanya hadi niache kujibu baadhi ya comments..maana watu kibao wamenipa pole.
Badala ikubali niquote wote kwa comment moja tu..eti jadi nianze kujibu mojamoja kitu kile kile!


Mi notifications ilikuwa inakuja ya juzi..sasa hivi inakuja ya masaa 7 na 14 yaliyopita.

Yaani akina Maxence Melo wanajua kutunyanyasa na hii App
Ona kwa mfano. Mkwepu Jr ndo anabisha hodi sasa hivi baada ya masaa 7. Mtu anaweza kukutag, kukukwoti au kukuita mahali akadhani umemuiginoa kumbe notification haijakufikia. Hovyo tu.....
Screenshot_20220527-100232.jpg
 
Ona kwa mfano. Mkwepu Jr ndo anabisha hodi sasa hivi baada ya masaa 7. Mtu anaweza kukutag, kukukwoti au kukuita mahali akadhani umemuiginoa kumbe notification haijakufikia. Hovyo tu.....View attachment 2240980
Kwanza kama mkwepu amepitisha likes nyigi..huwezi kuziona zote.

Sasa kimbembe ni waliokutag kabla ya likes za mkwepu.
Notifications zao zinafunikwa kabisa na wala huwezi kuziona.
Wamelimit idadi ya notifications wakati browser unaweza kuona notifications hadi za mwezi uliopita.
Huku Kwenye App za wiki iliyopita tu huzipati.
 
Back
Top Bottom