InshaaAllah🙏🙏Inshallah naona kesho nitakuwa mjumbe mapema Sana nikohapa![]()
InshaaAllah🙏🙏Inshallah naona kesho nitakuwa mjumbe mapema Sana nikohapa![]()
YahHahaha
Sema kuchukia mtu sana inaletwa na mood swings .. hutaki kabisa kumuona au kusikia sauti yake
Kaniletee ile juice ya tende basi 😍😍 au nikuchumu mkononi kwanza unaoenda bebea juice 😅😅Sasa je, af tusumbuliwe pm😛
Woyooooooooooooh!!!!!Cheka utanue mapafu shos angu maisha matramu haya weeeh!!!

Uko sahihi. Mara nyingi mwanaume ukiona ndani ya nyumba gubu, kisirani na dharau za rejareja zimeanza wala usiumize kichwa. Sometimes ni hormonal imbalances tu na ukipiga mikwaju ya uhakika unatatua tatizo kibabe, heshima inarudi na furaha kila kona. Hata kanga zilizoandikwa "Mapigo unayonipa mpaka mbengo zinafongoka" utavaliwa yaaniHahahaha nimecheka aisee
Umeeleza vyema kabisa
Kiukweli ina faida yake sema ndo hivyo ni dhambi ... Inaondoa kisirani na gubu , kuna muda unaweza jikuta unamchukia mtu kumbe ni hali hiyo tu .
Pia kunichekesha ovyo kwa ke inatokea

Kumbe mkwaju ni taarabu!Mbishi sana wewe
Mkwaju ni habari nyingine
Ukute ni jegejo
Huku mziki laini
Halamba halamba haaam
Utaja ruka uzio
Shauri yako
Ooh sureYah
Inategemea na mood.
Em log out kwanza 😅Kalinitea ile juice basi 😍😍 au nikuchumu mkononi kwanza unaoenda bebea juice 😅😅
That's ma genius sweet shostieee!! 😘😘😘Kaa hapo nikupe vocha Halotel kwanza hii imenikoshaaaa♥️Samahani km nimekukwaza Mr, kutoka ndani ya moyo wangu naomba unisamehe, najua nimekosea na haijawa sahihi kwa jinsi nilivyo react, plz naomba nisamehe.
Ila jaman msivuke mipaka ktk kunizungumzia, hata mie nakasirika na sometimes naumia, mapungufu na madhaifu yangu yasifanye mnidharau kupita kiasi, hata mkiwa mnani dharau sio lazima mnioneshe wazi wazi, kujitoa kwangu ufahamu hapa ndani sio ticket ya nyie mnikejeli na kunidharau hivyo, kuna muda nakua serious na nakua smart na upstairs kuliko mnavyodhani.
Naomba unisamehe Mr, na polee kwa kuondokewa na mzazi wako. Huyo.
Jah aendelee kumtunza na kumuhifadhi huko aliko.
Mwanga wa milele umuangazie daima, Ameeeeeeen!!!!!
Mrushie mapepoYah
Inategemea na mood.
Shetani ndiye anarushia mapepo.Mrushie mapepo
Kama yote
Moyo wako utulie
Aya sasa mshikane mikono na mkumbatianehuo ndo uungwana Coca
wanasema Muungwana akivuliwa hasimami hutuchama
tujifunze kuwa wavumilivu kipenzi tunatofautiana mawazo na mihemko ya hasira hivyo tuvumiliane tu maisha yaendelee aunt

kabisaa aunt, kuna maisha nje ya haya. 

Uko sahihi. Mara nyingi mwanaume ukiona ndani ya nyumba gubu, kisirani na dharau za rejareja zimeanza wala usiumize kichwa. Sometimes ni hormonal imbalances tu na ukipiga mikwaju ya uhakika unatatua tatizo kibabe, heshima inarudi na furaha kila kona. Hata kanga zilizoandikwa "Mapigo unayonipa mpaka mbengo zinafongoka" utavaliwa yaani![]()

Sipiti

MkweThat's ma genius sweet shostieee!! 😘😘😘Kaa hapo nikupe vocha kwanza hii imenikoshaaaaSamahani km nimekukwaza Mr, kutoka ndani ya moyo wangu naomba unisamehe, najua nimekosea na haijawa sahihi kwa jinsi nilivyo react, plz naomba nisamehe.
Ila jaman msivuke mipaka ktk kunizungumzia, hata mie nakasirika na sometimes naumia, mapungufu na madhaifu yangu yasifanye mnidharau kupita kiasi, hata mkiwa mnani dharau sio lazima mnioneshe wazi wazi, kujitoa kwangu ufahamu hapa ndani sio ticket ya nyie mnikejeli na kunidharau hivyo, kuna muda nakua serious na nakua smart na upstairs kuliko mnavyodhani.
Naomba unisamehe Mr, na polee kwa kuondokewa na mzazi wako. Huyo.![]()
![]()
![]()
Jah aendelee kumtunza na kumuhifadhi huko aliko.
Mwanga wa milele umuangazie daima, Ameeeeeeen!!!!!
HakikaUko sahihi. Mara nyingi mwanaume ukiona ndani ya nyumba gubu, kisirani na dharau za rejareja zimeanza wala usiumize kichwa. Sometimes ni hormonal imbalances tu na ukipiga mikwaju ya uhakika unatatua tatizo kibabe, heshima inarudi na furaha kila kona. Hata kanga zilizoandikwa "Mapigo unayonipa mpaka mbengo zinafongoka" utavaliwa yaani![]()