Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,263
- 185,187
Nishatupia msukuma where were you lakini??? š¤
Nina siku nne sijaona picha yako...and this is unacceptable!
Kabla hujalala bila shaka utaaga vizuri kama ilivyo kawaida yako...