Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tinsley na upole wako huo kumbe na wewe umo eeh!?

Inaweza kusaidia kuondoa hormonal imbalances; na hii inaweza kuondoa vitatatizo hivyo vidogo vidogo. Pia ni tiba nzuri ya siteresi kwa sababu husaidia kupunguza cortisol (homoni ya siteresi) mwilini. Na bila stress immune system inakuwa nkonki na kuondolea mbali vitatizo hivi vidogo visivyo na kichwa wala miguu
Namhala

Oghomhalaga o'mmayo

Obheja gete

Ogwesombhola E ya ngh'ana
 
Mkuu bahati si yako
Nikikuwekea hapa mara 2 zote wakacbukua😅
Sasa hivi niko kwa bed tayari tukijaliwa kesho riziki ikipatikana tumuombe Mungu
Mjep eeeh nisaidie vocha ya buku tu pm hizi unazoweka kuna watu kimya kimya wanaweka na hawaonekani, nataka nataka genetic nimtuzie leo sijakaona humu😒
 
Basi sawa

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Samahani km nimekukwaza Mr, kutoka ndani ya moyo wangu naomba unisamehe, najua nimekosea na haijawa sahihi kwa jinsi nilivyo react, plz naomba nisamehe.

Ila jaman msivuke mipaka ktk kunizungumzia, hata mie nakasirika na sometimes naumia, mapungufu na madhaifu yangu yasifanye mnidharau kupita kiasi, hata mkiwa mnani dharau sio lazima mnioneshe wazi wazi, kujitoa kwangu ufahamu hapa ndani sio ticket ya nyie mnikejeli na kunidharau hivyo, kuna muda nakua serious na nakua smart na upstairs kuliko mnavyodhani.

Naomba unisamehe Mr, na polee kwa kuondokewa na mzazi wako. Huyo.
Jah aendelee kumtunza na kumuhifadhi huko aliko.
Mwanga wa milele umuangazie daima, Ameeeeeeen!!!!!
 
Back
Top Bottom