Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tinsley na upole wako huo kumbe na wewe umo eeh!? [emoji16][emoji16][emoji16]

Inaweza kusaidia kuondoa hormonal imbalances; na hii inaweza kuondoa vitatatizo hivyo vidogo vidogo. Pia ni tiba nzuri ya siteresi kwa sababu husaidia kupunguza cortisol (homoni ya siteresi) mwilini. Na bila stress immune system inakuwa nkonki na kuondolea mbali vitatizo hivi vidogo visivyo na kichwa wala miguu [emoji16][emoji16][emoji16]

Mikwaju (ya uhakika) ina faida nyingi sana katika miili yenu[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahahaha nimecheka aisee
Umeeleza vyema kabisa
Kiukweli ina faida yake sema ndo hivyo ni dhambi ... Inaondoa kisirani na gubu , kuna muda unaweza jikuta unamchukia mtu kumbe ni hali hiyo tu .
Pia kunichekesha ovyo kwa ke inatokea
 
Setakeeeeeeeee kabesaaaa!![emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955] jf I learned through mistakes!!! ! Humu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!! Mrashia wangu anitosha mie!
Piga kelele kwa m rashia ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom