Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
[emoji3][emoji3][emoji3]nimechekaEndelea kumwaga samare.
Kumbe zinasaidia kuwithdraw mafweza eeh??
Mbona ntafilisi mtoto wa watu sasa[emoji3064]
Aisee nasaka namba ya Ashura[emoji23][emoji23]
Tujiongeza mwaya akikutana na ashura huko kazi moja tujaribu jaribu akienda kwa ashura awahi kurudi [emoji16]