Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mimi sikujua mkizoeana humu mnaweza kuvunjiana adabu ivo aisee Allahu aalam

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Wee ndo ulozidisha mazoea, au nilishawahi kulisema hilo kabla?au kuna siku niliwahi kusema hilo kwa namna yeyote? Na unajua no kwan nlisema hivyo?

Huwa sitaki dharau za reja reja, mie mwenyewe nina dharau sana. Na hapo nimekiheshimu sana.
 
Ndo ukashindwa kundharau mimi ukamdharau mzazi wangu seriously?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shika shika tu sema usivute alafu nzuri ukitaka kuomba hela[emoji23][emoji23][emoji3] achomoi hapo unatak kuwa ashura mama Junia[emoji23]
cocastic uje utusaidie mwaya
Endelea kumwaga samare.

Kumbe zinasaidia kuwithdraw mafweza eeh??
Mbona ntafilisi mtoto wa watu sasa[emoji3064]

Aisee nasaka namba ya Ashura[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shika shika tu sema usivute alafu nzuri ukitaka kuomba hela[emoji23][emoji23][emoji3] achomoi hapo unatak kuwa ashura mama Junia[emoji23]
cocastic uje utusaidie mwaya
Shangazi wee nae, huyo mama mtumishi, atazivuta km anang'olea mpunga majarubani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]

Amuache kaka wa watu tyuuh.
 
Back
Top Bottom