cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Ili tumkamate mtoto wa mama mkwe
Auntie Junia naamini wanaume wore wana ndevu.
Atakayekuja naamini atakuwa nazo..
Tuchukue notes mapemaaa.



Wasema kweli, walikua hawapindishi mambo🤣🤣🤣 wahenga walikuwa hawataki mchezo kabisa…
Ewaaa mambo ndio haya ebu sogea kidogo hapa 😅😅Hakuna kulala leo, ni burudani mwanzo mwisho.
Tuanze na gospel songs then movie unashangaa asubuh hiyooo.
Niliweka kama mchana hivi
Washukuriwe sana Big boy na FIB kwa mioyo yao ya ukarimu na upendo au basi🤣🤣🤣Mwaka wangu huuu sio kwa mambo haya kwa uzamini wa Big boy 😅😅
Saint Anne anaomba umfundishe matumizi ya ndevu shos!!Weraaaaaaa weraaaaaaa
Waleleeeeeeeeeeeh,![]()
KisawasawaIli tumkamate mtoto wa mama mkwe![]()

Usiandike huku😂😂Ewaaa mambo ndio haya ebu sogea kidogo hapa 😅😅
Sasa na ndevu afundishwe matumizi? Huyo mchumba ake hajui?




huyo jamaa awekwe kikao mapema sana.Ooh haya
Nitajaribu kuwaona.
Samahan sana, mie mdogo nilishindwa kum miliki baba ako?msieeeeeew.![]()

















!!Bado upo?Kho kho khoo! Wacha nisubir halotel 😊😊😊
Nyie nifundisheni niboreshe ndoa
KhaaaaSasa na ndevu afundishwe matumizi? Huyo mchumba ake hajui?huyo jamaa awekwe kikao mapema sana.






Samahan sana, mie mdogo nilishindwa kum miliki baba ako?msieeeeeew.![]()



Chaaanilishavuka huko. Huwa sirudi nyuma.