Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Usijali mpendwa 😬Nasubiri hivi
Usijali mpendwa 😬Nasubiri hivi
Natembea sana aiseeHii kauli ya maisha yangu tayari mazoea tosha ndo inayofanya watu wazima wapate sana TIA na stroke saiv
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Usijali mpendwa![]()

Matumizi ya ndevuWeee tukufundishe nini mdogo wangu?? cocastic naomba muongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!

Eti mwendo mkaliNatembea sana aisee
Tena mwendo mkali.
nipo nyaka nyakaaa ila raha 😁😁😁Hamna namna😅😊😊




Afadhali nimeiwahi hii🥰🥰Aaaah inamana umenishika taitiiiiiii
Umenibana unanifanya kwako sikurupukiiiiii🤫😉♥️
View attachment 2239893
Sijui hata namuimbia nani walahi!!!🤷🤷
😊😊😊😊😊 Dogo wa chini haamini macho yake🎶
Wanaume tumeumbwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso
Kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeumbwa (tumeubwa) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeumbwa (Nasibu) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeumbwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso
Kuangaika
![]()
![]()
Kuna moja umeikosa, ya washa motooo cheer hatari mzeee kidogo nianguke 😅😅Afadhali nimeiwahi hii🥰🥰
Nitakua naimbiwa mimi tu hakuna mwingine 💪
Hao wa kwa special clinic wana bei eeh
Weeeeeeehhh...jf🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 sitaki hata kuwasikia mie!!!!!Afadhali nimeiwahi hii🥰🥰
Nitakua naimbiwa mimi tu hakuna mwingine 💪
Umempata mwenye ndevu mama JuniaMatumizi ya ndevu![]()

Jaman nipo buzzy somewhere hivi napata umbea.Cheka na maelezo shousss
Ohooo!!


