Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,231
- 183,104
shukrani sana anko!Jambo jema la kumshukuru Mungu na nina furahisi kusikia hivyo 🙏
shukrani sana anko!Jambo jema la kumshukuru Mungu na nina furahisi kusikia hivyo 🙏
Mkuu vipi ulisharud daslamJambo jema la kumshukuru Mungu na nina furahisi kusikia hivyo [emoji120]
Teacher [emoji23][emoji23][emoji445]
Wanaume tumeumbwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso
Kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeumbwa (tumeubwa) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeumbwa (Nasibu) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeumbwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso
Kuangaika
![]()
![]()
Jinga wee, toka wee, kaka zako, had baba ako naweza kuwamiliki, pumbaavu. [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaniamkia mimi,sio chalii hataKumbe chalii tu weye!🤨🤨🤔🤔
Ah hapanaAsije akanipiga tu na vitube
Ndo umefuta[emoji18]Mimi zitaniisha tu zenyew nmesafiri sana kipindi kilichopita
Sio God Forbid?Astaghfirullah unankumbusha marehem babangu[emoji174]
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Unaniamkia mimi,sio chalii hata
Tangu nitoke Mbeya parachichi nakula kwa tochi.Fanya mazoezi basi kunywa maji mengi usipake mavitu mengi usoni punguza kula katapera
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji8][emoji3059][emoji8]Aaaah inamana umenishika taitiiiiiii
Umenibana unanifanya kwako sikurupukiiiiii[emoji2958][emoji6][emoji3531]
View attachment 2239893
Sijui hata namuimbia nani walahi!!![emoji1745][emoji1745]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri.
Kizuri share na mwenzio shos[emoji108]
Tena fanya kashikamoo hapoNyoooooooooohhhh !!
[emoji3064]Ah hapana
Atakupa ushauri mzuri juu ya mafuta mazuri ya kutumia .
Cheka na maelezo shousss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aunt[emoji23][emoji23][emoji23]Samahan sana, mie mdogo nilishindwa kum miliki baba ako?msieeeeeew.[emoji57][emoji57][emoji57][emoji2958]
Nasikiliza huo wimbo hapa shos🤣🤣🤣🤣!!!!!Weraaaaaaaa weraaaaaaaah
Hadi wimbo tyuuh, kweli mapenzi kikohozi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kauli ya maisha yangu tayari mazoea tosha ndo inayofanya watu wazima wapate sana TIA na stroke saiv[emoji25]Tangu nitoke Mbeya parachichi nakula kwa tochi.
Natumia tu kwenye juice.
Mazoezi purukushani za hapa na pale ni mazoezi tosha.
Unadhani hata napaka mavitu usoni basi??
Hata mafuta huwa sipaki.